Umenena mkuukwahiyo lift ndo kipimo cha kukua Kwa jiji? kuna miji kibao Ulaya majengo mwisho ghorofa tatu au nne na imepangika vizuri.....Arusha bado sana halafu watu pia bado ni washamba kweli huwezi tofautisha yupi mmasai na yupi si mmasai ndo maana mnakimbia mji wenu tofauti na watu wa Mbeya na mwanza . Yaani watu wa Arusha wanashobokea Dar kama Paris vile
Wewe umeongea ukweli bila kufichaMwanza imeanza kurudi kwenye Mstari baada ya kupiga mark time kwa miaka MITANO.... Niliamia MWANZA mwaka 2005..kwa ukweli mambo yalikuwa MPWITO MPWITO.... kama mnakumbuka miaka hiyo Arusha na Tanga Zilipokwa hadhi ya kuitwa jiji...TZ kukawa na MAJIJI MAWILI ...Dar and Rocky CITY..... katika kasi ya ukuaji na kuanza kumalizika majengo mazuri pale mjini....NSSF na PPF pamoja na miradi Mikubwa kama ya KISEKE ESTATE...Shetani akawaingia wana Mwanza....wakafanya mabadiliko....wakalikabidhi JIJI kwa Wachumia MATUMBO kutoka Kaskazini na yule jamaa mwingine WANJA....Duuh retardation kubwa ikafanyika kuanzia 2010 mpaka 2014....Kuanzia 2015 mambo yameanza kuwa MPITWO MPITWO.... ROCKY CITY imeanza kurudi kwenye ubora wake....asante sana CHAMA KUBWA kwa kazi mlioianza..... WANANZENGO hawatarudia TENA MAKOSA!
Kwa hiyo unapiga kelele humu kuwa Arusha iko juu ya Mwanza kisa hujulikani?Sasa humu jf anakujua nani mpaka ushindane nae!Kama unapenda ushindani wafate wapangaji wenzako muwe mnashindana nani atatupa sana maganda ya mayai na mabox ya maziwa kila siku kwenye shimo lenu la taka
Hehehe mbeya wanajivuniaMbeya usiingize huku maana hamna kitu...eti watu wa arusha ni washamba...unataka uwalinganishe watu wa arusha na mbeya unaanzia wapi..arusha utalii arusha kuna muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali huo ushamba utoke wapi..kwanza hujawahi kufika arusha so ni vema upige kimya.
Mkuu naskia na mikoa ya kusini pia inakuja vzur kama lindi ,mtwara is it true...?MOTOCHINI unapenda league brother...
Yote kwa yote,sisi NI watanzania na tunapaswa kujivunia sehemu zote za nchi yetu na ndio maana logo zetu hazijali ukanda ambao wanajamii forum mnajitahidi kuupalilia...
Haya bhana ila southern collidor ndo inakua kwa kasi kwa sasa maana miundombinu imeboreshwa...
Kwangu mimi ,miji ambayo ninaijua inakua kwa kasi ni mtwara,kahama na dodoma.....
HII NI FURSA YA KUPAJUA WAPI PA KUWEKEZA PESA YAKO NA SI KUSHABIKIA JUHUDI ZA WENZIO HUKU WEWE UKIWA MWANAJESHI WA MTANDAONI........
Hahaha unajuaje kama kapanga?Sasa humu jf anakujua nani mpaka ushindane nae!Kama unapenda ushindani wafate wapangaji wenzako muwe mnashindana nani atatupa sana maganda ya mayai na mabox ya maziwa kila siku kwenye shimo lenu la taka
Hata kwa Tanga bado. Kamji ka Arusha ni kadogo sana. Naona watu wanachanganywa na hivyo vimajengo viwili vitatu vya mahoteli! Alafu huenda hao wanaoandika hawajatembea vizuri miji ya watu. Tanga eneo la mji ni kubwa na limepangiliwa vizuri. Kuna gardens za kupumzika,etc vitu ambavyo Arusha hakuna. Alafu Chuga uswahilini sanaSio kweli labda upambanishe Arusha na Tanga. Mwanza inakua kila siku.
Hiyo moja ndo inafunguliwa Arusha. Unajua Mwanza zipo ngapi? Na ni ngapi zinafunguliwa soon?Nilijua tu utakuja kwenye mall maana hicho ndo sasahivi mwanza kimekuwa gumzo...ile mall ni nzuri kwa kweli...ila arusha kuna hii ambayo soon inafunguliwa..View attachment 346939View attachment 346940View attachment 346941View attachment 346942View attachment 346943View attachment 346944View attachment 346945View attachment 346946View attachment 346947
Du! Sijui nikujibu lipi mkuuMOTOCHINI unapenda league brother...
Yote kwa yote,sisi NI watanzania na tunapaswa kujivunia sehemu zote za nchi yetu na ndio maana logo zetu hazijali ukanda ambao wanajamii forum mnajitahidi kuupalilia...
Haya bhana ila southern collidor ndo inakua kwa kasi kwa sasa maana miundombinu imeboreshwa...
Kwangu mimi ,miji ambayo ninaijua inakua kwa kasi ni mtwara,kahama na dodoma.....
HII NI FURSA YA KUPAJUA WAPI PA KUWEKEZA PESA YAKO NA SI KUSHABIKIA JUHUDI ZA WENZIO HUKU WEWE UKIWA MWANAJESHI WA MTANDAONI........
Wala! Nina chuki na huu uzi uliouanzisha tafadhalini mods ondoa hii kitu.Hehehe una chuki na mimi
Sehemu za kupumzika zipo kwa mbele ya palace hotel,,sokoine road upande wa kushoto inatazamana na NBC bank,na pembeni ya mzunguko wa impala au ulitaka mji mzima uwe ni garden tu za kupumzikia..next time ukija arusha omba utembezweHata kwa Tanga bado. Kamji ka Arusha ni kadogo sana. Naona watu wanachanganywa na hivyo vimajengo viwili vitatu vya mahoteli! Alafu huenda hao wanaoandika hawajatembea vizuri miji ya watu. Tanga eneo la mji ni kubwa na limepangiliwa vizuri. Kuna gardens za kupumzika,etc vitu ambavyo Arusha hakuna. Alafu Chuga uswahilini sana
Nshu ni kukua kwa mjiHata kwa Tanga bado. Kamji ka Arusha ni kadogo sana. Naona watu wanachanganywa na hivyo vimajengo viwili vitatu vya mahoteli! Alafu huenda hao wanaoandika hawajatembea vizuri miji ya watu. Tanga eneo la mji ni kubwa na limepangiliwa vizuri. Kuna gardens za kupumzika,etc vitu ambavyo Arusha hakuna. Alafu Chuga uswahilini sana
Weka picha ya hizo zinazofunguliwa soon...rock city mall ndo mall ya maana hapo mwanza.Hiyo moja ndo inafunguliwa Arusha. Unajua Mwanza zipo ngapi? Na ni ngapi zinafunguliwa soon?