Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Acha ganja wewe, kwani shughuli za serikali mara nyingi huwa zipo wapi...?! Kama sio Arusha, Dodoma na Dar es salaam...Kumbe mliinuliwa kwa upendeleo na mtu.. Huku Arusha tunainua mji bila msaada wa mtu.. Hata hii Mall inayojengwa ni ya wazawa wa hapa
Tena Mwanza hakuna upendeleo...