Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Hivi arusha gani inayosifiwa hapa? Sijaona jiji lenye miundo mbinu mibovu kuzidi arusha, mji hauna hata stand ya maana, Pale mjini stand ya daladala ya hovyo mno hata lami tu wameshindwa kuweka, nenda njia za mitaani sasa huko, ngusero, sombetini, daraja 2,majengo, mbauda, mitaa iko hovyo kama una gari ni speed 10 mwisho ukienda zaidi unavunja gari kama biscuit,mji wa arusha ni mji wa hovyo mno, Arusha Jina ni kubwa kuzidi mji ulivyo
 
Mwanza stand ya Daladala ni ipi ya maana mkuu
 
Kwani kuna lipi Arusha
Mpaka kuidharau Mwanza!?

Arusha hakuna lolote mji wenyewe kilometa 1 za mraba

Mwanza level nyingine bwana
*****
acha wivu / wivu ukizidi hugeuka uchawi.
Arusha ikiongeza bidii kidogo yaweza kuwa kama NAIROBI.
N.B.
USHINDANI NI KITU CHEMA KATI YA MIJI NA MIJI MAANA HATIMAYE MALENGO HUFIKIWA.
BIGUP A-TOWN.
 
Arusha ndo home lakini bado sana kwa mwanza,
eneo la ukubwa wa mji ni mdogo sana,
Na hata hako kaeneo kadogo bado vijumba vidogo vidogo vya uswahilini vimejaa mno.
Jiji gani halina double road?
Arusha ingekuwa sawa na Mwanza endapo eneo la mji lingeanzia kimandolu mpaka kisongo na kote kuwe na maghorofa na miundombinu ya uhakika na hapo ni kwa urefu na kwa upana utoke ngaramtoni hadi kwa mrombo na njiro.
Ukuaji wa Arusha umedumaa sana.
 
Arusha hamna double road? Ushafika au unasema tu
 
Wana JF

Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.

Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
Mkuu MOTOCHINI, Mwanza ulikuwa shule ipi mwaka huo 2002, na ulitoka mwaka gani? mara ya mwisho umeenda Mwanza lini? Arusha unaishi au unaenda na kutoka? Umetumia vigezo vipi kulinganisha hiyo miji miwili?
 
Back
Top Bottom