Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Bishaneni weeeeee lakini Mbeya city ndo penyewe , jiji linakua Kwa kasi ya ajabu na limepanuka zaidi ya kilometa 20 nje ya jiji
 
Mwanza miaka ya 2002 ilikuwa ni vumbi tupu, pamoja na kuwa jiji, sasa hivi ni fresh, we unasema kasi imepungua imepungua kiaje...?!

Mkapa aliiinua sana...
Mwanza ilikuwa na kasi sana
Lakini kasi ile imepungua kiukweli
Ukisema habari za vumbi
Kila mji ulikuwa vumbi
Lakini sasahivi hadi wilaya zina Lami mitaani
 
Mwanza ilikuwa na kasi sana
Lakini kasi ile imepungua kiukweli
Ukisema habari za vumbi
Kila mji ulikuwa vumbi
Lakini sasahivi hadi wilaya zina Lami mitaani
Kuna mtu amekuuliza hivi zile Manispaa mbili zinazounda jiji ni urembo tu wamejiwekea...?!
 
Bishaneni weeeeee lakini Mbeya city ndo penyewe , jiji linakua Kwa kasi ya ajabu na limepanuka zaidi ya kilometa 20 nje ya jiji
Huko ambapo jengo lenye lift mmeanza kupanda juzi juzi tu eeeh
 
Mkitaka mshindanishe vzur ekeni picha za project za mwanza na za arusha muone nan atakuwa nomaa in future..
 
Back
Top Bottom