Supporting evidence? Hivi ukiwa ktkt ya jiji la Mwz ile mitaa mikubwa yenye majengo makubwa ya ofisi na biashara unaweza linganisha na mtaa/mitaa ipi pale Arusha?Suporting evidence??
Supporting evidence? Hivi ukiwa ktkt ya jiji la Mwz ile mitaa mikubwa yenye majengo makubwa ya ofisi na biashara unaweza linganisha na mtaa/mitaa ipi pale Arusha?Suporting evidence??
Eka picha tuoneSupporting evidence? Hivi ukiwa ktkt ya jiji la Mwz ile mitaa mikubwa yenye majengo makubwa ya ofisi na biashara unaweza linganisha na mtaa/mitaa ipi pale Arusha?
Hawa majamaa kwa kupenda kujifananisha na wazungu, eti na wao wana Arusha Times Teh Teh Teh mayo nene..
Majengo gani makubwa yenye tofauti na yaliyopo arusha....tena kwa wingi wa majengo makubwa mwanza inazidiwa...Supporting evidence? Hivi ukiwa ktkt ya jiji la Mwz ile mitaa mikubwa yenye majengo makubwa ya ofisi na biashara unaweza linganisha na mtaa/mitaa ipi pale Arusha?
Tukisema tuanze kulinganisha majengo tutakesha apaMajengo gani makubwa yenye tofauti na yaliyopo arusha....tena kwa wingi wa majengo makubwa mwanza inazidiwa...
Eti ee na wewe umeona ee?Watu wengine buanaaa....
Umeombwa usome mkuu? nakusumbua pita ivi[emoji117] [emoji117]Hivi wewe jamaa ni mzima kweli? Huo ukurasa ndio chanzo cha habari zako hadi unatusumbua humu.
www.tra.go.tz angalia tax collection statistics mkubwa.Hivi wewe jamaa ni mzima kweli? Huo ukurasa ndio chanzo cha habari zako hadi unatusumbua humu.
Nilidhani najadiliana na mtu anaye elewa miji yote miwili kumbe ni shabiki tu kama hawa wa ligi zetu za matopeni!!Majengo gani makubwa yenye tofauti na yaliyopo arusha....tena kwa wingi wa majengo makubwa mwanza inazidiwa...
Hehehe mbeya wanajivunia
Kuona watu wa Zambia
We angalia nilicho quote.Kwahiyo shughuli za serikali ndio zinasababisha ukusanyaji uwe juu?? Mbona Dodoma inazidiwa hadi na Moshi Mjini tu??