nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,029
- 2,902
Kaakazini ilikuwa zamani sasa hivi wamebaki kuforge vyeti na nyaraka na kutanga tanga kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa na mingine iliyobarikiwa.Iko hivi mleta mada ni mtu wa kaskazini, huwa ana chuki na wivu na kanda ya ziwa na watu wake hasa wasukuma, nina mjua kupitia nyuzi nyingi huwa anapondea sana waskuma. Kwa hiyo ni mwendelezo wa wivu wa jamaa kwa MWANZA.