Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

kwakuwa sifa anazo,agombee tu wapga kura tutaamua wenyewe.sifa anazo 1.umri 2,ni mtanzania 3.anachama cha siasa.mwsho naulza swali,kwann prof amsemee makinda?
 
Daahh......Professor inabidi arudishwe tena India kuchekiwa afya yake aisee.............I mean..... hata sijui nianzie wapi!........
 
Huu sasa utani.......naomba kuuliza wakati hayo yanasemwa hivyo hapo Bungeni Spika Makinda alikuwepo? maana naona aliona kuwa hao wachangiaji wanamfanyia dhihaka.
 
Wonders shall never end in Tanzania!
This is abuse of the Presidency Institution!

kila siku huwa najiuliza ni kwa nini makinda alipewa uspika wa bunge,na ninapata tabu sana na uwezo wa watu wengi ndani ya ccm...na jana wabunge wametumia muda mwingi kumsifu makinda eti amechaguliwa kuwa mwenyekiti sijui wanini....najiuliza bunge linamshinda huo uongozi alio pewa atauweza?sishangai walio msifia sana jana kwa sababu wote walio walio msifia ni wazee hivyo sina wasiwasi ningepata tabu sana kama angesimama mbunge kijana na kumsifia...kweli tanzania inavyanzo vingi vya maajabu...haya nayo ni maajabu.....
 
Mwandosya anaweweseka na magonjwa yake...Makinda alifaa kuwa mwanajeshi front-line vitani maadui wangedhani ni jini!
 
sijawahi kusikia a very IRRESPONSIBLE statement kama hii..Yaani makinda awe Rais? au alikuwa anamaanisha rais wa chama cha wakulima wa chai mufindi?
 
Ukiona professor
anakuwa kama Waziri asiye na wizara maalumu kama Mwandosya ujuwe, uwezo
mdogo wa kufikiri.
Mwandosya elimu anayo ila upeo ndo zero! Binadamu akiuguwa sana huwa
uwezo kiakili unashuka sana.
Ngoja akusikie Nape yaani unamdhalilisha baba yake halisi hivi hivi! Subiri matusi toka kwa mwenezi, mi simo.
 
Nimesema kabla na nasema tena - kama kigezo ni kuwa na matiti peke yake, makinda anafaa kuwa kitu chochote ambacho tutahitaji mwenye matiti. Tungeweza kuanza kumjadili kwa kigezo hicho. Lakini Tanzania na mahitaji yake ya kiongozi imara - ni zaidi ya Makinda!

Yaani hatuwezi hata kutaja jina la makinda na nafasi ya uraisi katika sentensi moja! Ni aibu!
 
mnaweweseka ccm sema anafaa kuwa mgombea kupitia chama chenu lakini sio uraisim chadema inkwenda kuweka raisi 2015
 
Nimesema kabla na nasema tena - kama kigezo ni kuwa na matiti peke yake, makinda anafaa kuwa kitu chochote ambacho tutahitaji mwenye matiti. Tungeweza kuanza kumjadili kwa kigezo hicho. Lakini Tanzania na mahitaji yake ya kiongozi imara - ni zaidi ya Makinda!

Yaani hatuwezi hata kutaja jina la makinda na nafasi ya uraisi katika sentensi moja! Ni aibu!
jf is a stress free zone,,,,nimecheka sana,,,,
 
sijawahi kusikia a very IRRESPONSIBLE statement kama hii..Yaani makinda awe Rais? au alikuwa anamaanisha rais wa chama cha wakulima wa chai mufindi?

hahahahhahaaaaaa,,,,,,daaah kuna dhihaka humu ndani!!!!
 
Familia yake imemshinda nchi ndo ataweza?
 
Back
Top Bottom