Magovongo
Member
- Jul 29, 2013
- 12
- 6
Kinachonisikitisha ni kuona msomi mkubwa kabisa anayebeba PhD kichwani mwake ameshindwa kuyachambua matatizo mengi makubwamakubwa kabisa yanayolikabili Taifa hili la Tanzania kwa miaka hii, akaoanisha na shughuli anazopaswa kuzifanya Rais wa wa Tanzania ya sasa kwa wingi wa matatizo yake, na hata akaamua kumpendekeza huyo mama, huu ni utani mbaya sana, na ni aibu ya wanaojiita wasomi wa Tanzania kwa kujirundikia umaarufu ambao ki msingi hawastahili kuwa nao!