Henry Zared
Member
- Jan 22, 2013
- 15
- 2
Huyu Professor atakuwa kajitoa fahamu kwanza kabla ya kusema haya.
Presidaa mtarajiwa??
Unahamia nchi gani mkuu? Si umesikia akipigia debe posho za wabunge, ndo anaandaa mazingira ya kupitiswa nec maana wabunge wengi wa ccm ni wanec pia.nchi hii hakuna tofauti ya darasa la nne na profesa.
makinda akiwa rais nahama nchi.
Kwani kesharudi India tena? Kati ya watu ambao hawatamsahau JK huyu pia ni mmoja wao.Huyu mzee anaumwa bado!!!!!!
'A healthy mind resides in a healthy body'.Huyu Professor atakuwa kajitoa fahamu kwanza kabla ya kusema haya.