Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Chaaaaa

Hebu nipite mie, sijui hata nimeingiaje humu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Katika watu ambao sijui wanafanya nini bungeni ni huyu mama amekuwa mbunge toka enzi za mwalimu kisha mbunge wa Jimbo toka miaka ya 90 haijafanya chochote kule njombe wabunge wa njombe wa juzi wanafanya maendeleo ye yupo tu kuna sehemu ukipita kule ambapo hamna maendeleo utasikia wenyeji wanakwambia ndo tunaingia Jimbo la makinda huyu mama hamna kitu ila tu sifa kubwa anayopewa ni mwanachama mnyenyekevu wa ccm sijui inasaidia nini kwa maendeleo ya mwananchi wa kawaida
 
Jaribuni kumuweka mgombea wa uraisi 2015 muone kama anafaa
 
Jaribuni kumuweka mgombea wa uraisi 2015 muone kama anafaaa
 
Najisikia kutapika! JK ametufikisha hapa! Sasa kila tomato ladhani linaweza urais!
 
Hivi cha muhimu ni matatizo ya sasa hivi au ni urais 2015? kila kitu imekua ni urais tu, bungeni ni vita kuhusu nani achukue nchi 2015 hadi matatizo ya wananchi wamesahau, vyama vyote ni kupigania kura za 2015 tu, hivi kipindi cha kampeni za uchaguzi ndio kimeanza au?i
 
Mwandosya tokea augue hajapona hadi leo masikini anachozungumza hata hakijui
 
jamani mbona watu siku hawaogopi kubeba lawama bulr,yaani kila mmoja akiamka anajitamkia kuringana na selikari ya kichwa chake kinavyomuagiza.basi tukubaliane kuwa kila mmoja anaweza kuwa rais kama kila mtu anajigamba kuwa rais.
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

----------------------



My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS

lipumba hawezi kufikiri zaidi ya dini yake, mwandosya hawezi kufikiri zaidi ya ukanda wake, nawashangaa sana maprofesa wa tanzania. watanzania sijui watajifunza kwa nani ustaarabu.
 
Huyu mzee anakua kama mwendazake,uprof wake unanitia mashaka,bibi kiroboto awe raisi?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tanzania ni nchi nzuri sana; raia wake ni wapole, wanyenyekevu hata pale inapotokea wakidhulumiwa; wanapenda amani ila sijui kama wanapenda haki na usawa. Tanzania inaonekana ni nchi rahisi sana kuongoza, kupelekea kila raia anatamani kuiongoza!
Watanzania bwana!!!
 
Tangu KIKWETE awe raisi kila mtu anajiona anaweza kuwa raisi. come 2015 mtaona mambo.

mkuu nadhani mwandosya zile dawa anazotumia, moja ya side effects zake inasababisha aseme maneno kama hayo. kukaa india miezi kadhaa chini ya uangalizi wa madaktari si mchezo.
 
Back
Top Bottom