Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

makinda? Tena kuwa Rais? Huwa namuheshimu sana mh Mark Mwandosha a.ka Baba Nape lakini kwa hili ulipitiwa au ulikuwa unatani kama si kufurahisha wabunge....
 
Hivi yule mzee kapona vizuri kweli?au inabidi arudi india?
Mzee wa wizara isiyo maalumu,
 
Makinda akiwa rais kesho yake naomba uraia wa somalia
 
tangu kikwete awe raisi kila mtu anajiona anaweza kuwa raisi. Come 2015 mtaona mambo.

yule mama anafaa sana,tena na sisi tunaombea apitishwe huyo...tehe teheeeee,sijui na watoto watakuwa wanakimbilia wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kuna mtu wa kulaumiwa kwa hili la kila mtu anataka urais(someone make the post cheap)...ikulu ni zigo la matatizo lakini people are racing to be there?????????
 
Yaani Anne Makinda huyu huyu anayeshindwa kuongoza bunge? Kumchagua huyu kuwa rais ni kujiletea kifo kabisa kwani huyu ana potential ya kuwa even worse than Kikwete, Mkapa, Mwinyi combined!
 
Tunaagizwa na busara za kibinadamu kuheshimu maoni ya watu wengine lakini kwa walio na busara watajiuliza inawezekanaje kauli kama hii kutoka kwa Prof. aliye na sifa kama za Mark Mwandosya!!!!

Huyu Mwandosya ameingiliwa na kitu gani kichwani mwake mpaka akatoa kauli tata kama hii? I am difinately worried!!
 
hadi tundu lissu nae kapendekeza hivyo

993388_711146105569216_539945368_n.jpg
 
Uwezo wa makinda kiuongozi ni mkubwa sana. Unaweza kulinganishwa viongozi kumi wa upinzani wakiunganishwa kwa pamoja, ie 1 makinda = 10 opposition men leaders tena wa huku bara.
Umeamua tu kupost ili uonekane au umemaanisha kuwa wewe nimtu wakaribu nahuyo mama?Sasa unatetea lishe yako isije kuyumba?Nadhani hata Mh Mwandosya anajutia kauli yake nasiamini kama anaweza kuitoa pale jimbono kwake kauli kama hiyo la ameamua kumaliza vibaya siasa!
 
another waste story ya kutupotezea muda tusijadili mambo ya muhimu katika taifa
 
Tukiondoa ushabiki wa watu fulani huku nje na misimamo isiyoona mbele Mama Makinda anafaa kbs kuwa kiongozi wajuu ktk Taifa hili.ni mzoefu na ana msimamo kwa jambo analoliamini.
 
Back
Top Bottom