Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

ifike mahal sasa tuheshimiane had makinda mmh nadhan nahitaj kuhamia zangu kwa pk akiwa rais makinda
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

----------------------


My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS

Hii ni moja ya sababu majirani zetu wameamua kututenga baada ya kubaini kuwa we're not serious to alleviate our citzens povety but tunaendekeza maneno ya khangahapo ndipo niafika pahala naamini mungu ni Athumani,Miaka 50!Kudadadek!
 
labda makinda ya ndege, lakini km itakua yule kiumbe hata kidogo hapo mwandosya atakua anampigia debe tu...
 
Jamaa huyu tulifanya kazi pamoja zamani pale UDSM na tuseme ukweli ile timu yake yeye pamoja na Professor Luhanga ilikuwa ni ya watu wakali sana katika nyanja wao, sisi tulikuwa ni junior sana wakti huo. Jamaa alikuwa ni kichwa kweli kweli kwenye Industrial Electronics tukiwa tumawuliza jambo lolote hata ambalo haliko katika uwanja wake. Ingawa alikuwa anashirikiana sana na Luhanga ambaye naye alikuwa mkali sana wa Telecommunications, ila kwa vipimo vyovyote vile, ni Mwandosya huyu ndiye aliyekuwa akimbeba Luhanga. Inaelekea sasa hivi siasa za CCM zimefanikiwa kabisa kufuta ROM yake; anahitaji chip mpya kabisa kabla mambo hayajaharibika sana; nadhani ile ya kwake original ime-overheat!!.
 
Lundenga, Wema Sepetu na Luiza Mbutu pia wana sifa za kuwa raisi....yeah rais wa Miss Tanzania Foundation, Bongo Fleva Foundation na Tanzania Band Association respectively.
 
Lundenga, Wema Sepetu na Luiza Mbutu pia wana sifa za kuwa raisi....yeah rais wa Miss Tanzania Foundation, Bongo Fleva Foundation na Tanzania Band Association respectively.

Hahaaaaa malafyale ugogile...mwe kuti bha diamond tubhapege urais po tukanamahala
 
Baba yake Nape naye kwa utani, yaani gaucho huyu huyu awe rais? Kweli Njaakaya kashusha hadhi ya urais.
 
Kweli kusoma siyo kuelimika mwandosya fiki mwanawane. unataka kukiuwa chama chetu.
 
Hizo sasa ni Dharau,

Yan midume wote hawa nchi hii na madevu yetu tuongozwe na mwanamke??tena sampuli hiyo??

Wanaume wanaongozwa vipi na mwanamke?

Ngoja tuone mwisho wake,lakin hii inatokea huko huko kwa wazungu,ilivotokea liberia na hawa watani wetu wa ziwa nyasa sidhan kama itatokea tena,ila kwetu hatutathubutu kabisa,samahan mama zangu,sisi tumeletwa tuwaongoze nyinyi na sio nyinyi mtuongoze sisi
 
Tangu KIKWETE awe raisi kila mtu anajiona anaweza kuwa raisi. come 2015 mtaona mambo.

Ukiona professor anakuwa kama Waziri asiye na wizara maalumu kama Mwandosya ujuwe, uwezo mdogo wa kufikiri.
Mwandosya elimu anayo ila upeo ndo zero! Binadamu akiuguwa sana huwa uwezo kiakili unashuka sana.
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

----------------------


My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS

Nadhani aliongea kama kejeli tu,I beleve hakuwa serious.
 
Back
Top Bottom