Geezzle
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 849
- 269
Tangu KIKWETE awe raisi kila mtu anajiona anaweza kuwa raisi. come 2015 mtaona mambo.
yani mkuu tunakoelekea,sintashangaa kuskia mwigulu nchemba nae kapendekezwa!tz vi2ko haviishi aisee!
Tangu KIKWETE awe raisi kila mtu anajiona anaweza kuwa raisi. come 2015 mtaona mambo.
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.
Huyu Mwandosya naona walimlisha madudu makali sana hata amekosa uwiano wa ubongo na mdomo! na hata wabunge fulani wamemuunga mkono: Mimi nadhani hiyo ni chokonoa ili tuseme Makinda hafai bora Migiro ili CCM waanze kuchekelea na haya magalasa yao.
hongera kikwete kwa kuwajengea watanzania uwezo wa kiuongozi na kujiamini kuongoza nchi.
Makinda ni mwanamke wa shoka, we utabaki na wivu wako hapo
Ninasikiliza vichwa
vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna
Makinda kwa urais 2015.
My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa
Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA
URAIS
yani mkuu
tunakoelekea,sintashangaa kuskia mwigulu nchemba nae kapendekezwa!tz
vi2ko haviishi aisee!
You mean:
MAKINDA = Lisu, Lema, Mnyika, Nassari, Mdee, Safari, Arfi, Chiku, Leticia, Kamili.
Hapo kweli sidanganyiki kamwe.!!!
[FONT=comic sans
ms]CCM inaonekena kuwa na hazina kubwa na uchaguzi mpana wa
"candidates"[/FONT]
ni haki kwa mtanzania yeyote kufikiria kuwatumikia watz kwa nafasi ya urais. Wananchi ndio watapima uwezo wake
Mmeishazoea akili ndogo kuongoza akili kubwa ndani ya CCM. Ndio maana inakuwa vigumu kwenu kujua nani anafaa kuwa rais na nani hafai...Mkuu, hiyo ndo inawapa pressure na jambajamba chadema. maana kila mtu ndani ya ccm wanaona ni mkali. sijui! ila naamini hata ccm wasiposimamisha mtu, watu watakipigia tu kura kwa vile wana imani nacho kuliko hizi saccos za akina slaa
Inawezekana
unaunga mkono kutokana na ufanisi alioupata katika kuliendesha bunge
kibabe, kuendekeza vijembe na mipasho pasipo udhibiti! Kumbuka Bunge ni
taasisi ya wasomi wanaojua sheria kanuni na taratibu, kuwaongoza watu
sampili hio aghalabu ni rahisi sana ukiwa na kipaji cha uongozi,
ukiwashindwa hao, uhamie kwetu akina yahe mabingwa wa kulalamikia kila
jambo, kazi yake si ya kitoto!