Mwanaume mtaalamu jikoni

kwanini asakuta same?
kufua nepi ni soo ,nikianza kufua nepi itabidi nikuchunguze kidogo na nijue kwnn inanilazimu kufanya hivyo ati.
hlf njemba zenyewe hakuna hata mmoja humu km ingekuwa kupika kwa kuni angepika weweeee!,,,sasa sijui ss wa huku vijijini itakuwaje?
 
....dahh, huku 'utumwani' utake usitake utaingia kupika hata kama unaishi na mkeo.
BTW mie sioni shida kabisa kuingia jikoni na kurekebisha menu ya siku. Sijali kuitwa
majina bana, naitii njaa yangu na ile kitu utumbo inataka.

Mbu,

Hayo mazingira tunayaelewa sana...Kwa wale ambao tumewahi kutembelea huko, mambo ya kuingia jikoni tumeyafanya sana tena sana!!

Ila hao hao wenyeji wenu wakija huku kwetu na kupata cheap maids...hawakanyagi jikoni hata siku moja..!!

Hope umeelewa kwamba mazingira ya huko ni shida tu zinawapeleka watu jikoni!!

Kamanda ndio maana nimeuchuna tu kwenye hii sredi! nazani kuna clash of civilisation hapa

Hebu soma hapo juu kamanda wangu,

Siku hizi hata akina Bibi DC wanaingia jikoni wakati wa Xmass au Idd!!

Huwezi kwenda kujipaka paka mikaa na masizi wakati nyumba imejaa team nzima ya mpira...Labda kama nuts fulani kichwani zimelegea!!
 


Duuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhh,

Hapa kweli umejikunja Dada Mkuu....!!!


Bro,

Haya ndiyo ninayoyaseme......Kama watu wangepewa uwezo na mazingira yakaruhusu, watu ambao wangeamua kuwa na maisha ya kula nje zaidi ya mara 4 kwa week ni wengi sana!!

Ila jamani...naomba mjue kuwa wengine tunaongea haya tukitokea Tandale uzuri...Hebu piga picha babu DC yuko jikoni anakoleza mkaa au kuni!!

Lazima jamaa watamkimbiza kwa sangoma mara moja!!
 
Babu DC,
asante, at least another man amekuwa honest.

Tatizo ukiwa mkeli tu,watu wanakutazama vibaaya,ukweli lazima usemwe,mwanaume kufanya shughuli za mwanamke ni aibu kubwa!Ngoja nitoke kidogo nitapigwa mawe,wadada wana hasira kwelikweli
 
Babu DC,
asante, at least another man amekuwa honest.

Unajua Dada Mkuu,

Sipendi kuchanganya mambo....Nimepika sana kabla ya kuanza kuishi na ndugu...nimedeki nyumba sana...Ila baada ya kuanza kuishi na watu kibao hata kabla sijao...nilibakiza kazi ya kufua chupi zangu tu...!!!

Baada ya kuoa...hata chupi nafua nikiwa safari au kama Bibi anaumwa, ...hapo nafua zote...umeona hiyo!!

Pia watoto tumelea wote ikiwemo kuwaogesha n.k!

Ila siwezi kuacha kukimbia kimbia na mishe mishe za kutafuta mafungu ya kutunza familia inayokula ndoo ya unga na ndoo ya mchele kwa week eti nakimbilia jikoni kupepea mkaa....No way!!

The bottom line...kupika au la..kwangu mie ni mazingira tu!!...Nikiwa huko kwao napika sana tena sana...ila nikirudi uswahilini sikanyagi jikoni hata siku moja!!!
 
@babu dc
bora hata kama ni mkaa
unachochea kuni
bandika maharage
subiri kwa masaa 3 yaive
pepeta mchele, pembue pika wali

duh, lazima tutambike kwa kweli
 
Tatizo ukiwa mkeli tu,watu wanakutazama vibaaya,ukweli lazima usemwe,mwanaume kufanya shughuli za mwanamke ni aibu kubwa!Ngoja nitoke kidogo nitapigwa mawe,wadada wana hasira kwelikweli


Huna sababu ya kukimbia kivuli chako Bro,

Hapa tunatoa mauzoefu yetu...Hakuna uzoefu ambao uko juu ya mwingine!!
 
@babu dc
bora hata kama ni mkaa
unachochea kuni
bandika maharage:juggle:
subiri kwa masaa 3 yaive
pepeta mchele, pembue pika wali

duh, lazima tutambike kwa kweli

Wakati naisha kule kwa Wagosi...hapo ndo unakuta nazi na madugu mengine ya ajabu ajabu yametupwa njia panda!!
 
Kuna wale wababa utawasikia "njoo mchukue mwanao analia" Nshafanya kautafiti fulani, most mothers utawaona wanakunja sura wakiambiwa neno kama hilo. Hakuna mwanamke anapenda mume anayeona mtoto ni wake akiwa cool, akilia wa mama yake. Ndo maana mapenzi kwenye couples nyingine yanalegalega kwa vitu vidogo kama hivi. Huyo mkeo hachoki kumbembeleza mtoto peke yake?????????


 
Tatizo ukiwa mkeli tu,watu wanakutazama vibaaya,ukweli lazima usemwe,mwanaume kufanya shughuli za mwanamke ni aibu kubwa!Ngoja nitoke kidogo nitapigwa mawe,wadada wana hasira kwelikweli
Tafadhali orodhesha hizo shughuli za Mwanamke nasi tuzijue.
 
nakuja kupika
nshanunua samaki wangu
na matoke nimepitia hapa mabibo

nielekeze njia ya kupita basi
we kongosho wee,kabla sijakukaribisha kwenye libungalo langu,wewe ni She au He?
 


Unajua mstaafu, mimi katika huu mjadala nadhani pande zote mbili wako right as far as tradition na mazingira is concerned plus mtu binafsi mwenyewe anavyolichukulia hili suala. Tukubali au tukatae jamii inayotuzunguka ina athari kubwa katika lifestyle yetu ingawa this doesn't mean kwamba msimamo wa jamii uko right (hapa ndipo inapoingia mantiki yangu ya clash of civilisation)

Maisha ya nyumbani Afrika: Ni kweli ni ngumu kuingia jikoni kwa mwanamme kwa maisha ya nyumbani yalivyo hii ni kutokana na high social interaction iliopo afrika tafauti na kwa wenzetu, Mara nyingi kiafrika haichukuliwi kwamba jiko ni sehemu ya kupikia tu lakini pia mara nyingi inachukuliwa ni sehemu ya kijiwe cha kupigia soga kwa kinamama. Majirani wa kike, ndugu wa kike n.k wote wakifika nyumbani wanaweka kambi jikoni. Mazingira haya yanaweka ugumu kwa mwanaume kukaa jikoni na pia yanampatia picha mbaya kwa wageni wa kike ambao wanalichukulia eneo hilo ni kama eneo la kupeana michapo ya kimbea ya mitaani.

Maisha ya kwa wakoloni wetu: Hawa jamaa life system yao ni very poor kwenye social interaction, kuonana yao labda pub weekend na kwenye special ocassion kama krismass e.t.c. Sasa unakuta they are free to govern their house the way they want it na hakuna interference na watu wa nje, plus ni njia moja kwao kuonesha how much they care kwa wenza wao not to forget hawa jamaa wako serious kwenye uwajibikaji wa kusimamia maisha yao ya kila siku sasa unakuta mama na baba wote wanapindwa vibaya tena pengine swing shift, sasa hapo mstaafu ukisema usubiri jamaa arudi kipindo ndio upikiwe hehehe labda usubirie katiba mpya.

Sasa hapa mimi naendelea kusema tena tu mtabishana mpaka alfajiri lakini madamu ni swala la imani na utamaduni basi nakuhakikishieni hamtofikia muafaka
 
Thanks, the message was directed to Dc as he promised kwamba wanaume wanaopika wanatakiwa watandikwe bakora

Mkuu,

Kama uko kwenye apartment yako tutakupataje ili tukuchape bakora??? Ila kwetu huku Tandale au Tandika kweli tunawacharaza!!

ha ha ha
i know
maana nimemuimagine dc kabeba viboko kwenye pikipiki yake kama mzigo wa kuni
akija kukuchapa
ikabidi nikutetee

Weee acha tu...Niliwahi kuishi sehemu ambako jiko tulikuwa tunachangia familia 7....Hebu piga picha ya Babu DC anapack kipikipiki chake na kuwahi sehemu ya kuweka jiko la mkaa...au anawasha mkaa akichelewa kidogo shemeji zake wanaukomba na kuwashia majiko yao.....!!!



Sawa kabisa...

Hivi suala la mazingira umelifikiria lakini??? Na idadi ya vitegemezi je??? Mtoto wa baba Mkubwa, shangazi na hata wa jirani...Hao wote wakiwapo home, iwe ni wakike au kiume...inalipa kwa baba na kitambi chake kwenda kujigalagaza jikoni???

Babu DC!!
 

Alafu utakuta wanalalamika mama kahamishia mapenzi na muda wake wote kwa mtoto. Wanategemea nini na hiyo attitude ya "mchukue mwanao kachafuka" ???
 

Please Lizzy,

Usiwe unafanya mijadala kuwa personal....

Sie umejuaje kama kweli hatuwahudumii watoto wetu...???
 

Mkuu,

Haya ndiyo nimeyasema toka mwanzo...Tatizo ni kuwa Lizzy hataki kunielewa.

Nitamwomba asome kila mstari kwa kukariri!!
 

.....majukumu ya mwanamke hayo, Mwanaume akiyafanya hayo basi nguvu zake za kiume zitapungua sana!!!.....Baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo!!!! VERY SAD!!!!!!
 
ni mgawanyo wa kazi ndio ulivyo

.....majukumu ya mwanamke hayo, Mwanaume akiyafanya hayo basi nguvu zake za kiume zitapungua sana!!!.....Baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo!!!! VERY SAD!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…