Mwanaume mtaalamu jikoni

Mwanaume mtaalamu jikoni

X-paster
kinachomtengeneza mtu ni jamii inayomzunguka
ukikulia uchagani tunategemea uwe na tabia za huko
ukiwa na tabia za china lazima tukupeleke maabara
ukulie uchagani afu uongee kichina, na tabia zote za kichina???
Hauoni kama ni miujiza???
utakuwa unapinga na theory za human behavior

ndo mana mwanzoni nikasema za baba kupika watoto wamelala ni kacha za kimagharibi zaidi
kama umeishi huko au kukulia huko labda tunaweza elewa
maana ni mazingira yamekulazimisha
 
Nauliza swali:

Kazi za nyumbani kama vile, kupika, kufua, kufagia na kupiga deki, kuosha vyombo, kwenda kisimani/bombani kuchota maji n.k. Tunapata wapi kuwa ni kazi za kike?

Wakati huo huo hizo kazi zikiwa ni za kuajiriwa na kuna kipato ghafla bin vuu, zinageuka kuwa za kiume... Ajabu!

Labda niulize tena hii kusema kuwa hizo ni kazi za kike ni kwa mujibu wa Imani za Dini, Mila na desturi au ni kwa mujibu wa jamii zinazo tuzunguka?

Naomba wale wenye kutaka kujibu watoe reference aidha kwa mujibu wa imani zao au kwa mujibu wa mila na desturi zao, ili tuone kukataa au kukubali kwao kunatokana na sababu fulani.

Karibuni.
kazi kweli kweli hapa....ila kwa nature ya kimaumbile kuna mgawanyo wa majukumu.....hata hormone zinatofautia wakati testosterone inayotolewa kwa wingi na wanaume inawafanya wawe more masculine wakati eostrogen kwa wanawake inawafanya wawe soft....ndo maana ikija hatari nyumbani watu wote wanamuangalia baba.
 
Baada ya miaka 20 hata mtu anayepinga mahusiano ya jinsia moja itakuwa wanamshangaa hivi hivi

just a matter of time na kupata exposure za kimagharibi

hata wao wanasema how do you denie someone's happiness eti kisa amefall kwa jinsia moja?
Hawakuchagua, wamejikuta wamefall

hata shoga hajakana uanamme wake na haimwondolei yeye kuitwa mwanamme, ni kwamba tu kaolewa na mwanamme mwenzie.
Some of you neanderthals are so stuck on stupid by holding on tight to such falsehoods even to this day and age!

Cooking and performing other household chores does not emasculate a man. I just don't get it why some of you think that that is the case!
 
kazi kweli kweli hapa....ila kwa nature ya kimaumbile kuna mgawanyo wa majukumu.....hata hormone zinatofautia wakati testosterone inayotolewa kwa wingi na wanaume inawafanya wawe more masculine wakati eostrogen kwa wanawake inawafanya wawe soft....ndo maana ikija hatari nyumbani watu wote wanamuangalia baba.
Mkuu, kama ni mgawanyo wa majukumu na kwa kuzingatia hiyo testosterone inayo wafanya wanaume wawe masculine, sasa zile kazi zinazo hitaji misuli kama vile kuchota maji uko visimani/bombani kwanini zisifanywe na hao wenye misuli na zikafanywa na wenye misuri laini.... Kwa nini kazi za kulima kwa jembe la mkono kwa baadhi ya makabila bado zia achwa kwa kina mama... kwanini?
 
X-paster
kinachomtengeneza mtu ni jamii inayomzunguka
ukikulia uchagani tunategemea uwe na tabia za huko
ukiwa na tabia za china lazima tukupeleke maabara
ukulie uchagani afu uongee kichina, na tabia zote za kichina???
Hauoni kama ni miujiza???
utakuwa unapinga na theory za human behavior

ndo mana mwanzoni nikasema za baba kupika watoto wamelala ni kacha za kimagharibi zaidi
kama umeishi huko au kukulia huko labda tunaweza elewa
maana ni mazingira yamekulazimisha
Ndio nikakwambia kuwa kama wewe kwa taratibu za mila na desturi zenu unaona kufanyakazi za kuchota maji kisimani, kulima kwa jembe la mkono ni za kike ni sawa, hakuna ugomvi, japokuwa unakubaliana na dhana kuwa mwanamke ni kiumbe zaifu asiyetakiwa kufanyakazi nzito, ambazo wewe una amini kuwa ni kazi za kiumbe... Unasahau kuwa hata kuchota maji uko kisimani ni moja ya kazi inategemea msuli pia.
 
Kongosho wasipokuelewa watakua wana vichwa vigumu sana!
 
Baada ya miaka 20 hata mtu anayepinga mahusiano ya jinsia moja itakuwa wanamshangaa hivi hivi

Binafsi sijali mtu anafanya nini katika faragha ya maisha yake ili mradi hakiumizi au kudhuru wengine. Vivyo hivyo sipendi wengine wanifuatilie nikifanyacho kwenye faragha yangu.

Na hii dunia ilivyojaa unafiki kuna watu ambao walikuwa mstari wa mbele kabisa katika kupinga matendo ya ushoga kumbe na wao ni mashoga wa kutupwa. Kwa hiyo si kila anayepinga ushoga si shoga. Wengine ndo mashoga waliokubuhu. So go figure!

just a matter of time na kupata exposure za kimagharibi

Siyo kila kitu kinahusiana na exposure na ways za Kimagharibi. Vingine ni common sense tu.

hata wao wanasema how do you denie someone's happiness eti kisa amefall kwa jinsia moja?
Hawakuchagua, wamejikuta wamefall

Okay...and your point is...?

hata shoga hajakana uanamme wake na haimwondolei yeye kuitwa mwanamme, ni kwamba tu kaolewa na mwanamme mwenzie.

Ushoga na kupika wapi na wapi ndugu? Unalinganisha mambo ambayo hayafanani hata kidogo.
 
Baada ya miaka 20 hata mtu anayepinga mahusiano ya jinsia moja itakuwa wanamshangaa hivi hivi

just a matter of time na kupata exposure za kimagharibi

hata wao wanasema how do you denie someone's happiness eti kisa amefall kwa jinsia moja?
Hawakuchagua, wamejikuta wamefall

hata shoga hajakana uanamme wake na haimwondolei yeye kuitwa mwanamme, ni kwamba tu kaolewa na mwanamme mwenzie.
Mkuu, nadhani unataka kuchanganya mambo hapa, hayo unayo yaeleza hapo juu kuwa baada ya miaka 20 watu watakao pinga mahusiano ya jinsia moja tutamshangaa si kweli, kwasababu wanacho kifanya si katika mambo ya asili ya mwanadamu... Kama umenisoma tangia mwanzo, nilisema kuwa kazi za kike ambazo ni nature kwao ni kuzaa, kunyonyesha watoto kwa kutumia matiti yao kufanya mapenzi kwa jinsi inayokubalika kiasili na si vinginevyo.

Sasa atakapotokea mwanaume anayetamani kuzaa kama wanawake au kuishi kwa kuolewa kama wanawake, au akitokea mwanaume akaota maziwa makubwa kiasi nayo yakatoa maziwa, ni hakika tutamshangaa sana mwanaume wa namna hiyo.

Swala la mwanaume kuishi kinyumba, kuolewa na mwanaume mwenzake, au kwa mwanamke kuishi kinyumba au kuolewa na mwanamke mwenzake ni kinyume cha maumbile ya mwanadamu...! Tusichanganye hapa....!

Mimi kwa mtazamo wangu, kazi zote ngumu zenye kutumia misuli naamini ni kazi za kiume, zikiwemo hizo za kuchota maji visimani... Mimi nitagombana na mke wangu kwa kukataa kunyonyesha mtoto wetu ambaye anapaswa kunyonya na si kwa kusema nimsaidie kupika au kufua nguo au kufanya usafi wa nyumba... Ninaweza kugombana naye kwa kukosa kunipa haki yangu ya ndoa kwa sababu ndio msingi wa mahusiano, lakini si kwa kunambia nimsaidie kazi za nyumbani.
 
nakuja kupika
nshanunua samaki wangu
na matoke nimepitia hapa mabibo

nielekeze njia ya kupita basi

kweli turufu hufuata mchezaji,ona sasa kongosho unavyojigonga kwangu!
(Btw: wewe ni She au He?)
 
@NN
kama ushoga si tatizo watanzania tuling'aka nini baada ya kamerun kusema tuwatambue?
Its their own life kuchagua kupendana,
sasa sisi kama taifa tulikataa nini
hadi kufikia mkuu wetu kusema 'Yarabi tobaa!'

nimelinganisha na upishi sababu zote ni tabia za kike.
 
@NN
kama ushoga si tatizo watanzania tuling'aka nini baada ya kamerun kusema tuwatambue?

Waliong'aka waling'aka kwa sababu hawajui vipaumbele vyetu ni nini! Kung'aka kwa viongozi wetu ilikuwa ni moja kati ya mlolongo wa smoke screens wanazotumia kuondoa nadhari katika mapungufu yao ya uongozi.

Mbaya zaidi the people fell for their okey doke.Mimi sikung'aka kwa sababu sijali. Sijali wewe unalala na nani kwenye faragha yako na sitaki kujua. Hainihusu.

Na kama unaujua mtazamo wangu kuhusu hiyo misaada nadhani utaweza kunielewa zaidi.

Its their own life kuchagua kupendana,
sasa sisi kama taifa tulikataa nini
hadi kufikia mkuu wetu kusema 'Yarabi tobaa!'

Soma hapo juu. Nadhani nimejibu hili pia.

nimelinganisha na upishi sababu zote ni tabia za kike.

It looks like you are stuck in your ways. Anyhow, it's your prerogative.
 
Ndio nikakwambia kuwa kama wewe kwa taratibu za mila na desturi zenu unaona kufanyakazi za kuchota maji kisimani, kulima kwa jembe la mkono ni za kike ni sawa, hakuna ugomvi, japokuwa unakubaliana na dhana kuwa mwanamke ni kiumbe zaifu asiyetakiwa kufanyakazi nzito, ambazo wewe una amini kuwa ni kazi za kiumbe... Unasahau kuwa hata kuchota maji uko kisimani ni moja ya kazi inategemea msuli pia.

IQ zetu zipo tofauti sana!!
 
Kongosho wasipokuelewa watakua wana vichwa vigumu sana!
Hatupo hapa kuonyeshana nani anakichwa kigumu au laini, kuwa na adabu kwa wakubwa zako kijana... Heshima ni kitu cha bure.

@NN
kama ushoga si tatizo watanzania tuling'aka nini baada ya kamerun kusema tuwatambue?
Its their own life kuchagua kupendana,
sasa sisi kama taifa tulikataa nini
hadi kufikia mkuu wetu kusema 'Yarabi tobaa!'

nimelinganisha na upishi sababu zote ni tabia za kike.
Mkuu, upishi kumbe ni tabia, nilikuwa silijui ili.
 
nakuja kupika
nshanunua samaki wangu
na matoke nimepitia hapa mabibo

nielekeze njia ya kupita basi

baby(assuming you are She),mambo? Karibu.
Halafu leo nna ny........ Ni hatari!!!!!!!!!!!
Nipo kaunta sea cliff nakula henken.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom