Mwanaume mtaalamu jikoni

Mwanaume mtaalamu jikoni

Minjemba ya humu hata kama haipiki itasema inapika. Sio mbaya mmekubali kuwa kupika hakuwaondolei uanaume wenu. Halafu sio kupika tu, hata kufua na kubadilisha mtoto nepi navyo mfanye.
 
X-PASTER,unakua unamaanisha nini unaposema sina adabu?Hebu eleza hapa!
 
Minjemba ya humu hata kama haipiki itasema inapika. Sio mbaya mmekubali kuwa kupika hakuwaondolei uanaume wenu. Halafu sio kupika tu, hata kufua na kubadilisha mtoto nepi navyo mfanye.

Mimi sio mmoja wao,hukohuko na kufua nepi sijui nini!
 
Inategemea na mazingira tulokulia. SIsi baba yetu amepika sana mama akisafiri na kukiwa hakuna h/girl. Nakumbuka nikiwa primary mama alifiwa akasafiri my dad was cooking every day; tena bila kujificha. Hivyo basi hata kaka zangu ni wapishi wazuri saaana. Kuna mmoja huyo nakumbuka alikuwa anakaangiza afu anatia pilipili tusimdoee tulipokuwa wadogo; Lol.

Hivyo basi mimi nikimtembelea kaka yangu nikamkuta jikoni wala sishtuki na yeye wala hashtuki tena nampa big up kabisa kwa kutomfanya mkewe h/grl na namuona anazidi kuonekana caring husband. Lol.

Kuhitimisha ni kuwa kama umekulia kwenye mazingira ambayo hujawai kuona mwanaume anafanya kazi za jikoni; na umeshaambiwa ni taboo; wala sikushangai kwani haya mambo yako socially constructed.😛hoto:
 
duh, mnaanza kuniruka?
Ntakuwa mfupi sasa
Mkuu, mimi simuwakilishi mtu hapa, najiwakilisha mwenyewe, sasa wapi nimetamka kuwa ni hobby, labda nimesahau... si vibaya ukanikumbusha...!

Ufupi ni maumbile tu mkuu, wala haitokani kwa kurukwa...!

Masikini mbilikimo... sijui nani alikuwa anawaruka...!
 
Inategemea na mazingira tulokulia. SIsi baba yetu amepika sana mama akisafiri na kukiwa hakuna h/girl. Nakumbuka nikiwa primary mama alifiwa akasafiri my dad was cooking every day; tena bila kujificha. Hivyo basi hata kaka zangu ni wapishi wazuri saaana. Kuna mmoja huyo nakumbuka alikuwa anakaangiza afu anatia pilipili tusimdoee tulipokuwa wadogo; Lol.

Hivyo basi mimi nikimtembelea kaka yangu nikamkuta jikoni wala sishtuki na yeye wala hashtuki tena nampa big up kabisa kwa kutomfanya mkewe h/grl na namuona anazidi kuonekana caring husband. Lol.

Kuhitimisha ni kuwa kama umekulia kwenye mazingira ambayo hujawai kuona mwanaume anafanya kazi za jikoni; na umeshaambiwa ni taboo; wala sikushangai kwani haya mambo yako socially constructed.😛hoto:

kuna aunt yangu nae ana watoto watatu halafu wote wa kiume. Watoto wanafanya kazi zote kuanzia kupika mpaka kuosha vyombo. Kweli tukitaka kuwajenga wanaume katika misingi ya kutobagua kazi inabidi kuanza nao wakati bado wadogo. Binafsi Mwanaume ambae hajaoa na anajipikia namkubali sana, ni dalili nzuri ya kuonesha anajipenda na anajali afya yake kuliko yule anayekula mahotelini/ magengeni. Mwanaume ambae ameoa na huwa anapika japo mara moja moja huwa anaonesha kumjali mkewe.
Kibongo bongo kupika kazi ya mwanamke, mtoto akikojoa hata kama baba yupo nae hapo ataitwa mama mtu ndio ambadilishe nepi. Khaaaa!
 
Minjemba ya humu hata kama haipiki itasema inapika. Sio mbaya mmekubali kuwa kupika hakuwaondolei uanaume wenu. Halafu sio kupika tu, hata kufua na kubadilisha mtoto nepi navyo mfanye.
duh! hii ni kali aseeeh.
 
Sasa chakusikitisha hapo ni kipi?
No wonder hata watoto hawajui ukaribu wa baba zao kisa majirani watasema.

Lizzy weweeee????

Kwani kuwa karibu na watoto lazima uingie jikoni??

No way bwana!!
 
Kumbembeleza, kumbadili, kumwandalia chakula chake na kumlisha pale mfanyakazi (mama mtu) anapokua yuko busy na shughuli nyungine.

Ila wahusika wameshazoeleka. . . .
Ni mwendo wa "njoo umbembeleze mtoto, kachafuka huyu mchukue, ana njaa embu kamlishe, ananisumbua embu kaa nae huko jikoni" tu.SAD!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom