Mwanaume mtaalamu jikoni

Mwanaume mtaalamu jikoni

....dahh, huku 'utumwani' utake usitake utaingia kupika hata kama unaishi na mkeo.
BTW mie sioni shida kabisa kuingia jikoni na kurekebisha menu ya siku. Sijali kuitwa
majina bana, naitii njaa yangu na ile kitu utumbo inataka.
 
AHSANTE Mbu!!!
 
exkuzi ya shule inaeleweka
lakini naye asikae sana
mwanamme akikaa bachala muda mrefu nayo ni utata
anaonekana si mtu wa kujipanga
sasabu tangu mdogo anajua siku moja ataoa
si kitu cha kushtukizwa
Hivi kuoa na kuolewa ni LAZIMA eeeeh?
 
Kupika sio baology
ila kuoa ni biology
sasa kwa nini mwanamme asioe?
Biology yake anaifanyia wapi?
Kwa nini ajiache eti awe mgumu?
Hakuna ugumu wakati tumeumbwa tuwe na wenza tena kuanzia adolescence tayari biology inakuwa imeshakuwa tayari wewe kuwa na mweza
ni haya mambo ya shule yanatufanya tujizuie
miili inakuwa iko tayari at 14 to 16
afu unakutana na mkaka at 35 hajaoa
huo no u.h.a.n.t.h.i
mwanamme wa aina hiyo hata akikuoa kuwa makini sana
wengi huwa wanavishengele vichwani
watata sana

Biology ndio inayotuma watu kuoa na wanaume kutokupika?
Let's not get confused here!!!!
 
aisee DC hebu pita buguruni nunua fungu la bakora kabisa mje mnitandike, maana kupika ni hobbie yangu. Hata nikisafiri kikazi sometimes naulizia swrvice apartments badala ya chumba cha hoteli

kupika ni therapy nzuri sana hasa kama unapata double black label
 
kuna siku ulikuja na sredi
better be safe that sorry
why?
Sababu uliona ile knowledge ni useful kwa wengine
hata mie hii ya wanamme kupika najaribu tu kuwaasa wengine kuwa ni tatizo ukiona mwanamme anapika pika wakati kaona
anajaribu kujazilizia imperfection zake za uanamme kwa kupika
lakini kila mmoja ana akili atapembua afanye chaguo analoona linamfaa
kama anaona mwanamme mpishi ni saizi yake, its okay

To you ehhhh??
Sasa kwanini usiache iwe kwako tu badala ya kutaka kila mtu awe vile unavyoona wewe?
 
I got a question for you guys,

Katika mazingira yetu ya kibongo bongo bado hakikubaliki sana kwa mwanaume kuingia jikoni na kupika, haswa na wanaume wengine. Akifanya hivyo basi ataitwa majina kibao na yatasemwa mengi juu yake mf.mume bwége,kakaliwa, kalishwa limbwata, sio mwanaume kamili n.k.
Sasa swali langu ni kama hayo hapo juu yanamhusu mwanaume ambae anaishi na mwanamke , vipi yule asieishi na mwanamke(mpenzi/mke)?Pengine anaweza akawa anaishi na ndugu, dada wa kazi au hata mwenyewe.Huyu tumwite nani? Maana kama kukaliwa kakaliwa na nani?Limbwata kapewa na nani?Ubwége kavishwa na nani?Uanaume kavuliwa na nani?

Nadhani ni muda sasa tuanze kukubali wanayofanya wengine na kuwaacha wajihukumu wenyewe.Kama wewe hutaki/huwezi hamna haja ya kumwita anaefanya majina ya ajabu.Baki tu ukishangaa!!
Lizzy, hivi kazi ya mwanamke na mwanaume ndani ya nyumba ni nini?

Mi ninachojuwa kazi ambayo mwanamme hawezi kuifanya na ni katika vitu vya asili ni kuzaa na kutumia manyonyo yake kunyonyesha mtoto... Lakini kazi zote za nyumbani sioni tabu mwanaume akizifanya...!

Sasa ikitokea mwanamke ndiye mwenye kazi na mume kwa bahati hana kazi kwa sababu hizi na zile, na hapo nyumbani kuna Mtoto/watoto, je baba hata weza kuwapikia, kuwabadilisha nepi, kufua nguo za mtoto na kuwakogesha.

Je ikitokea nyote wawili mnafanyakazi mrudipo kazini hamuwezi kusaidiana, mmoja anakata vitunguu, mwingine anatayarisha iki na kile, na mkapika mkala na watoto na hata mfanyakazi na ndugu wengine wanao kaa nayi wakala na kufurahia maisha.

Mimi biafsi nilikuwa nikiwapikia dada zangu wakubwa chakula na wakirudi kutoka shuleni wanakuta hapo ugali wa nguvu na mchuzi wa kukata na shoka, baba na ama wakirudi kazini wanakuta wali wa nazi na samaki wa chukuchuku tayari nishaandaa, na sikuwahi hata siku moja kuwasikia wazazi wangu wakisema kuwa hii si katika kazi za kiume, kiufupi ni utaratibu tu wa kila familia na mambo yake hakuna cha ajabu hapo. Ila walikuwa wakilalamika tu kuwa nikitumia vyombo vingi na kazi ya kuosha ilikuwa ikiwakabiri wao.

Hii kitu huwa inashangaza sana, kazi za kupika na kufua au hata kuonsha vyombo zikiwa zinafanyika nyumbani zinakuwa ni za mwanamke, ila zikiwa ni za kuajiriwa kama vile kwenye mahoteli na kazi za udobi basi zinageuka ni za kiume na majina yanabadirika, na kuitwa kwa kiinglishi, utasikia maneno kama chef, laundryman (huyu ni dobi) n.k.

Kwa uoni wangu mimi kazi za nyumbani ni kujipanga tu wewe na mwenza wako, haijarishi nani na nani wanaishi nanyi hapo nyumbani, kama baba na mama wamehamua kijipangia wenyewe jinsi ya kuishi basi ni nani mwingine wa kuwaingilia... Kama wakikubaliana kuwa baba ndiye hawe mwajiriwa (mtafutaji) na mama habaki nyumbani kutunza mali ya familia na watoto, hayo ni maamuzi yao, la wakiona kuwa kuna haja ya wote wawili kutafuta kazi za kuajiriwa na nyumba kumwachia mfanyakazi wa nyumba ili kutunza watoto na mambo mengine ya afya na usafi wa nyumba na kuangalia watoto ni juu yao.

Hao wengine watakao sema kuwa fulani kalishwa limbwata au kafanyaiwa ulozi hizo ni fikra zao, na wakati mwingine ni kuona gere tu kuwa wao hawafanyiwi hayo... Wakati mwingine ndoa hazina fomula mahalum vile wenyewe mnavyotaka kuishi ndio hivyo hivyo, japokuwa wengi tumeathirika na mila, desturi pamoja na imani za kdini zetu...!

Labda niseme tu kuwa mila zingine hazioni kuwa ni destiuri nzuri kwa mwanaume aliyeoa na wakati mwingine hata yule amabye ajaoa na bado anaishi kwa wazazi wake, kuingia jikoni na kupika, kuosha vyombo, kufagia au hata kumbadirisha mtoto nepi, lakini kama wenyewe wanaona kuwa ilo ni sawa kwa mwanaume kutoyafanya hayo, basi hakuna wa kuwalazimisha, lakini wakiona kuwa kusaidiana kwenye kazi za nyumbani ni wajibu wa kila mmoja basi ni nani tena wa kunyanyua mdomo na kuanza kuwasema kuwa wamelishana limbwata...!?

Basi kama kweli kuna limbwata la kutufanya sisi wanaume wote tuweze kuwasaidia wake zetu kazi za nyumbani, mimi binafsi ningependa ilo Limbwata liwekwe kwenye maji ya bomba ya kunywa, kwenye chupa za maji yanayouzwa madukani na mabarabarani, kwenye visima na ikiwezekana hata kwenye bear na pombe kali ili kila mwanaume haweze kunywa na apate kumsaidia mke wake kazi za nyumbani.... Au wewe unaonaje, si itakuwa raha ndani ya nyumba!?

Tena tangazo lake la biashara utalisikia "...Kunywa maji safi ya kunywa yenye limbwata katika formula mpya kabisa.... Chupa moja limbwata mwezi mzimaaa...." Ah ah ah ah.
 
Kupika sio baology
ila kuoa ni biology
sasa kwa nini mwanamme asioe?
Biology yake anaifanyia wapi?
Kwa nini ajiache eti awe mgumu?
Hakuna ugumu wakati tumeumbwa tuwe na wenza tena kuanzia adolescence tayari biology inakuwa imeshakuwa tayari wewe kuwa na mweza
ni haya mambo ya shule yanatufanya tujizuie
miili inakuwa iko tayari at 14 to 16
afu unakutana na mkaka at 35 hajaoa
huo no u.h.a.n.t.h.i
mwanamme wa aina hiyo hata akikuoa kuwa makini sana
wengi huwa wanavishengele vichwani
watata sana
Sasa kama biology ndio inayotuma watu kuoa kwanini tusioane tukishabalehe na kuvunja ungo tukiwa na miaka 12????
 
unapika sababu ya hofu
mazingira yanayokuzunguka yamekutengenezea hofu
kiasi kwamba unadhani you are willing to cook

anyway, sijui umetoka sehemu ipi ya TZ plus kukaa huko uliko waona kama hamna shida
ni kama tu ukiwa jela, ugali maharage unaona mtamu sana sababu huna option

....dahh, huku 'utumwani' utake usitake utaingia kupika hata kama unaishi na mkeo.
BTW mie sioni shida kabisa kuingia jikoni na kurekebisha menu ya siku. Sijali kuitwa
majina bana, naitii njaa yangu na ile kitu utumbo inataka.
 
aisee DC hebu pita buguruni nunua fungu la bakora kabisa mje mnitandike, maana kupika ni hobbie yangu. Hata nikisafiri kikazi sometimes naulizia swrvice apartments badala ya chumba cha hoteli

kupika ni therapy nzuri sana hasa kama unapata double black label

AHSANTE MTM

AHSANTE Kloro. . . .
 
kuna siku ulikuja na sredi
better be safe that sorry
why?
Sababu uliona ile knowledge ni useful kwa wengine
hata mie hii ya wanamme kupika najaribu tu kuwaasa wengine kuwa ni tatizo ukiona mwanamme anapika pika wakati kaona
anajaribu kujazilizia imperfection zake za uanamme kwa kupika
lakini kila mmoja ana akili atapembua afanye chaguo analoona linamfaa
kama anaona mwanamme mpishi ni saizi yake, its okay

Kwahiyo kupika ni kujazilia imperfections?
AISEEEEEE. . . .
 
haya mambo ukiyaongea lazima uwe na reference point
reference point yangu ni maisha ya kitz
kuoa na kuolewa ni lazima
biology utaitizaje kama hujaoa au kuolewa?
Huko kwa wenzetu waweza usiolewe na biology ukatimiza na yeyote aliyeko mbele yako kwa wakati huo

kwa tanzanian life, kuoa na kuolewa ni lazima
Hivi kuoa na kuolewa ni LAZIMA eeeeh?
 
Kamanda ndio maana nimeuchuna tu kwenye hii sredi! nazani kuna clash of civilisation hapa

...aisee wewe ropoka tu bana, usijali kuitwa majina...halafu hii tabia ya kujitegemea kila kitu ndiyo inayoinizidisha na kiburi cha kutotafuta msaidizi wa maisha....
labda siku nikitamani chapati, kidogoo nalegeza kamba ya nani atanifaa...Oopss

MTM fagilia sana hizo service apartments kamanda, hats off bro...tangu nigundue raha zake
sifagilii tena mambo ya vyumba.
 
sioni clash
ni choice yako to uproot the pumpkia around the homusted
kuishi ulaya hakumaanishi lazima uache kacha yako na kufuata yao
au kuona yao ni bora kuliko yetu
its by choice not force

Kamanda ndio maana nimeuchuna tu kwenye hii sredi! nazani kuna clash of civilisation hapa
 
Wewe ni He?
Hatuhitaji tukupige maana makundi yote kwenye jamii yana haki zao
no matter wawe wa ajabu kiasi gani

aisee DC hebu pita buguruni nunua fungu la bakora kabisa mje mnitandike, maana kupika ni hobbie yangu. Hata nikisafiri kikazi sometimes naulizia swrvice apartments badala ya chumba cha hoteli

kupika ni therapy nzuri sana hasa kama unapata double black label
 
unapika sababu ya hofu
mazingira yanayokuzunguka yamekutengenezea hofu
kiasi kwamba unadhani you are willing to cook

anyway, sijui umetoka sehemu ipi ya TZ plus kukaa huko uliko waona kama hamna shida
ni kama tu ukiwa jela, ugali maharage unaona mtamu sana sababu huna option

....kuoa hiari, kula lazima.
Kabila yangu? usijali...mie mswahili.
 
haya mambo ukiyaongea lazima uwe na reference point
reference point yangu ni maisha ya kitz
kuoa na kuolewa ni lazima
biology utaitizaje kama hujaoa au kuolewa?
Huko kwa wenzetu waweza usiolewe na biology ukatimiza na yeyote aliyeko mbele yako kwa wakati huo

kwa tanzanian life, kuoa na kuolewa ni lazima
Kwahiyo wale ambae hawakuwahi kuoa/kuolewa ila wameacha watoto walikua wanajibiolojia wenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom