Mwanaume mtaalamu jikoni

Mwanaume mtaalamu jikoni

Mwanaume anayeingia jikoni kupika na kufurahia kitendo hicho - either single or married - hafai kabisa!
 
.....majukumu ya mwanamke hayo, Mwanaume akiyafanya hayo basi nguvu zake za kiume zitapungua sana!!!.....Baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo!!!! VERY SAD!!!!!!
Truly SAD.
 
Hehehehe,mama anaogopa kuambiwa "ahhh chakula cha leo mbona sio kizuri kama cha jana?" Kwahiyo ameona bora wazoee hicho hicho anachopika yeye.
Kama mnashirikiana jikoni, kikiwa kizuri au kibaya, mmetengeza au mmeharibu nyote. Ikiwa kinalika mtakula ikiwa hakiliki mtaanza upya au kwenda kula nje. Sijui kwa nini baadhi ya wasichana hawatumii hii fursa.
 
Nani aliyeamua mgawanyo huo wa kusema Baba hastahili kumbadilisha mwanae diaper, kumlisha na hata kumsafisha?

Nenda kwenye kitabu chako cha kiimani!
 
.....majukumu ya mwanamke hayo, Mwanaume akiyafanya hayo basi nguvu zake za kiume zitapungua sana!!!.....Baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo!!!! VERY SAD!!!!!!

BAK,

Unakumbuka ule msemo wa wahamasishaji wa mapambano dhidi ya HIV/AIDS???

Kwamba unapomnyooshea mtu kidole kimoja..vitatu vinakuelekea.....

Hakuna mtu ambaye ni Gold standard katika maisha...

Hebu some post ya Klorokwini (#193) hapo juu
 
Kama mnashirikiana jikoni, kikiwa kizuri au kibaya, mmetengeza au mmeharibu nyote. Ikiwa kinalika mtakula ikiwa hakiliki mtaanza upya au kwenda kula nje. Sijui kwa nini baadhi ya wasichana hawatumii hii fursa.

.....Wanaogopa macho ya watu...."Mume wake yule huingia jikoni kupika"...."Astaghafirullah!!! naye bado anaishi naye miaka yote hii." Dah! Kweli duniani kuna mambo!!!!! 2011 bado watu wana mtazamo wa 1947!!!! Bado tuna safari ndefu sana.
 
Orait, ntabadili niseme "wamezoeleka".

This is much better, diplomatic and not much of an attack...!!!

I almost lost my temper on the key board for the first time on MMU!!

Poa tu...tuendelee.....!!!

Babu DC!!
 
BAK,

Unakumbuka ule msemo wa wahamasishaji wa mapambano dhidi ya HIV/AIDS???

Kwamba unapomnyooshea mtu kidole kimoja..vitatu vinakuelekea.....

Hakuna mtu ambaye ni Gold standard katika maisha...

Hebu some post ya Klorokwini (#193) hapo juu

.....halafu nikiishaisoma ndio iweje Mkuu DC?
 
aliyekuambia wewe uvae suruali ni nani?
Asumming wewe ni He

kwa nini usivae gauni
Nani aliyeamua mgawanyo huo wa kusema Baba hastahili kumbadilisha mwanae diaper, kumlisha na hata kumsafisha?
 
.....majukumu ya mwanamke hayo, Mwanaume akiyafanya hayo basi nguvu zake za kiume zitapungua sana!!!.....Baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo!!!! VERY SAD!!!!!!

Too bad,ur in the same boat!
 
mawazo ya 1947 sio kosa
as long as yana mantiki

baada ya miaka 20 tukiukubali ushoga
kipindi hicho mtu anayepinga watakuwa wanamwambia

una mawazo ya 2011

.....Wanaogopa macho ya watu...."Mume wake yule huingia jikoni kupika"...."Astaghafirullah!!! naye bado anaishi naye miaka yote hii." Dah! Kweli duniani kuna mambo!!!!! 2011 bado watu wana mtazamo wa 1947!!!! Bado tuna safari ndefu sana.
 
Na hiyo dhambi inawafuata maisha yao yote; si tunaona watoto wakikua wanavyowapenda mama zao zaidi ya baba zao. Unadhani ni kwa nini? Baba jina! Usitegemee kupendwa wakati wewe huwezi kupenda.

Alafu utakuta wanalalamika mama kahamishia mapenzi na muda wake wote kwa mtoto. Wanategemea nini na hiyo attitude ya "mchukue mwanao kachafuka" ???
 
@ kongosho -

Mwanaume kuingia jikoni kupika hana tofauti na u-cameron!
 
....usibadilishe somo haina maana mtu kama haoni tatizo la Mwanaume kuingia jikoni basi pia hataona tatizo la Ushoga. Hayo ni mambo ambayo hayana uhusiano wowote na wala hayawezi kuwa na uhusiano hata siku moja.

mawazo ya 1947 sio kosa
as long as yana mantiki

baada ya miaka 20 tukiukubali ushoga
kipindi hicho mtu anayepinga watakuwa wanamwambia

una mawazo ya 2011
 
mlikuwa wapi toka jana
nimeonekana mie wa karne ya nuhu sana
kumbe na wengine mpo

kwa kweli hata mie naona ni gender misfit ndo inamfanya mtu ahamie kwenye upishi

Mwanaume anayeingia jikoni kupika na kufurahia kitendo hicho - either single or married - hafai kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom