Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

Nadhani hujaelewa. Vipindi maalum vya kuoga??

Ni pie. Kuoga asbh na jioni
Asbh maji moto
Mchana/ jioni ndo baridi.. napo jua liwe liliwaka vizuri tank likapigwa jua. Tofauti na hapo ya moto yako vile vile
Sawa mamii, za masiku lakini.....
 
Mimi sio mtaalamu wa afya ila kwangu mimi maji ya baridi ni tiba ukiyaogea. Huwa nikiamka asbh nakuwaga na wenge la usingizi kutoisha lakini nikimaliza kuogea maji baridi nakuwa niko sawa sana.
 
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
sasa mimi tayari nina watoto 6, naogopa kwenda kukata mirija, kama hiyo itakuwa ni njia salama ya kufanya mbegu ninazotoa zisizalishe si itakuwa njia nzuri ya uzazi wa mpango? cha muhimu niwe rijani lakini hazizalishi. watoto wanatosha, namshukuru Mungu mno kwa hawa nilionao.
 
Rudini shule mkasome homeostasis.

Temperature ya maji yanayoweza ku-denature protein ukiyaoga unababuka ngozi.

Common sense is not common.
 
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.

Hapa ndo naanza kupata picha kua ilitikiwa tukae uchi ni bas tu ujuaji wetu🪢
 
Sema Maji baridi ya kwenye ndoo sio poa..hayana urafiki kabisa. Kuogea maji baridi ya bomba la mvua kunavumilika.
 
Namna gani inaweza fanyika maji ya simtank yasipigwe joto? Mchana yanapigwa jua hadi yanakua kama yamechemshwa
 
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
Sisi wa Makete nasi tuoge maji ya baridi kuogopa ugumba? Yaani nichague kufa kwa kichomi au kukosa mtoto? Tafiti ya uongo hiyo.
 
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.
Unajua sauna wewe? Unajua majuu kila bomba linatoa maji moto na baridi?
 
Kuoga maji ya moto hakuwezi kuka kuletea Fertility. Mathalani hata kuvaa nguo za kubana hakuwezi kukuletea fertility.

Hizo zote ni story za Vijiweni, na hakuna scientific proof of any kind.

Temperature ya Vagina ni around 37.5°C yet sperm zinaweza kukaa alive 28HRS na kutungisha mimba. Then how come, maji ya kuoga, kwa 15minutes ambayo mostly ni ya 40°C yakuletee fertility?
 
Hivi ni kweli hamjamuelewa? Au mna muattack tu?
Uzi unasema msioge maji moto.. hajafunga kwamba ni maji moto ya kuanika juani tu au na warm water.

Ye amereply mikoa yenye baridi wangekuwa wahanga. Means ame assume mikoa ya baridi watu wanaoga sana maji moto.

Au mm ndio sijaelewa uzi?
Siwezi kuoga maji baridi aisee
 
For Now everything good is dangerous for men, Okay okay Can you guys give us some water please.
 
Haina noma mi huwa naoga maji ya baridi ila safari hii nayalaza kwenye friji kabisa
 
Hizi ni stori za miaka mingi na hazina ushahidi...
 
Toka 1998 hadi leo naoga maji moto,asubuhi na usiku,nina watoto wawili wa kiume,nguvu zakiume bado zipo kwa kasi kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom