Hizi ndio porojo watanzania wanapenda kusikia hakuna reliable source, hakuna facts, hakuna references, hata hiyo kusema sijui hospital gani sijui nina mashaka nayo, hakuna Daktari wakutoa comment ya hivyo sometimes mnawasingizia ili kufanya hoja zenu zisizo na mantiki na ushahidi wa kisayansi kukubalika, sijajua wewee kama ni mtaalam wa afya.

Ila hata kama sio basi nenda ka google ni joto kiasi gani linahitajika ili kudenature protein kwenye mwili wa binadamu, ili kuepusha aibu ndogo ndogo kama hizi, Mungu hakutengeneza kiumbe wa hivyo ingekuwa hivyo hata ngozi tusingekuwa nazo hata nywele maana zote hizi ni proteins in nature, halafu pia time ya exposure kwenye hot water wakati wa kuoga ni ndogo mno kiasi cha kupelekea ku denature sperm protein, sidhani kama kuna mwanaume anaoga nusu saa mzima hata DK 15 huenda ni wachache sana, wengi wetu ni chini ya hapo, kwa joto la maji ambalo hata ngozi inaweza ku stahimili huo ni muda mchache sana sana tena sana kuweza ku denature proteins, sperm zingekuwa hivyo sidhani kama tungekuwa hapa
Mi niliamini hili ni jukwaa watu hupeana maarifa sahihi lakini nashangaa uzushi ni mwingi kuliko maarifa sahihi porojo na siasa inatawala kuliko taaluma, na wengi hawana muda wa kuchunguza hupokea mambo kama yalivyo na kuyaisha, bila kujua wakati mwingine unaishi under someone's personal opinions, nimepitia uzi fulani nikakuta na mwingine tena anazungumzia madhara ya vyakula vya kuchoma na kukaanga, yaani anaongea maneno matupu hamna facts za kitabibu, yaani ukimsoma vizuri unajua huyu ni mweupe haelewi hata Anatomy and physiology ya mwili wa binadamu, ndio huyu mwingine tena [emoji848], aisee ukikosa maarifa sahihi umekula hasara taslim kwenye Dunia hii maana utayumbishwa na kila aina ya maarifa
hata kama sio basi nenda ka google ni joto kiasi gani linahitajika ili kudenature protein kwenye mwili wa binadamu, ili kuepusha aibu ndogo ndogo kama hizi, Mungu hakutengeneza kiumbe wa hivyo ingekuwa hivyo hata ngozi tusingekuwa nazo hata nywele maana zote hizi ni proteins in nature, halafu pia time ya exposure kwenye hot water wakati wa kuoga ni ndogo mno kiasi cha kupelekea ku denature sperm protein, sidhani kama kuna mwanaume anaoga nusu saa mzima hata DK 15 huenda ni wachache sana, wengi wetu ni chini ya hapo, kwa joto la maji ambalo hata ngozi inaweza ku stahimili huo ni muda mchache sana sana tena sana kuweza ku denature proteins, sperm zingekuwa hivyo sidhani kama tungekuwa hapa