Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

Mwanaume hupaswi kuvaa chochote wakati wa kulala
Nakubaliana nawe mkuu, tena ikiwezekana ukilala kunja mguu mmoja ili korodani ziwe free. Ni kitendo cha kudumisha afya bora ya uzazi kwa mwanaume.
 
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu.

Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu (scrotum) zinahifadhi mbegu za kiume (sperm) kwa muda, na ndio maana zimejitenga nje ya mwili kwa sababu sperm ni protein in nature, hivyo zikipata joto kali huharibika.

Unapooga maji ya moto maana yake unaongeza scrotal temperature, na hivyo kujimaliza mwenyewe.

Pia tuepuke na kuvaa nguo za kubana, wakati wa mchana na hata muda wa kulala, tukianza na boxer za ndani mpaka jeans mana nazo zinachangia ongezeko la joto kwenye sehemu zako za siri.

Kawaida ya binadamu mpaka jambo limkute ndipo anapopata funzo.

Upuuzi tu na life style za hovyo, tunakula vibaya, na tunaishi vibaya ndo maana tunakosa kuwa fertile.
 
Unaingiaga ya umeme au mkaa? Huu utafiti ni uchwara tu

Utafiti wa taharukii..

Ya mkaa ndio nzuri... Unaweka na vitu mbali mbali kwa ajili ya afya ya mwili na ngozi... Wa China wanajaza majani yao ya dawa..
 
Utafiti wa taharukii..

Ya mkaa ndio nzuri... Unaweka na vitu mbali mbali kwa ajili ya afya ya mwili na ngozi... Wa China wanajaza majani yao ya dawa..
Vitu vitu kama? Tofauti na mint? Yamkaa sijawahi.. kuna sehemu ipo ntaenda kujaribu
Haha nimejizoesha ya umeme
 
Hivi ni kweli hamjamuelewa? Au mna muattack tu?
Uzi unasema msioge maji moto.. hajafunga kwamba ni maji moto ya kuanika juani tu au na warm water.

Ye amereply mikoa yenye baridi wangekuwa wahanga. Means ame assume mikoa ya baridi watu wanaoga sana maji moto.

Au mm ndio sijaelewa uzi?
Au mm ndio sijaelewa uzi?


Umeeleweka mama
 
Vitu vitu kama? Tofauti na mint? Yamkaa sijawahi.. kuna sehemu ipo ntaenda kujaribu
Haha nimejizoesha ya umeme

Jaribu ya mkaa... Mint kwa ajili ya harufu nzuri..

Dawa za asili za kujifukiza wanachanganya kwenye mkaa ule...
 
Sio Errors, rudi juu usome tena mwamba yuko sahihi
typing errors tu hapo ila ameelewa vzuri tu, namimi namuunga mkono huo wala sio utafiti ni matokeo ya mawazo yake yakuwaza sana ngono tu akaamua aandike huo upuuzi, atafute hela!
 
lakin kila nikitungisha mimba ni dume mtoto wa kumi sasa mtaan 8 kwenye ndoa wawili wote wa kiume tu had wake za watu
Hii ni shida pia wanawake wana kuzidi ndio maana midume unge kuwa vizuri ungetoa wakike wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom