Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

If the only tool you have is a hammer then every problem you have has to look like a nail.
Tanzania tuna kazi ya ziada.
 
Mikoa yenye baridi asilimia kubwa ya wanaume wangekuwa wagumba.

Utafiti uchwara.
Kuna haja gani ya kukimbilia kukoment kabla hujaelewa? Au uwelewa wako ndio shida, sasa hapo umeandika nini kulingana na mada husika?
 
Kuna haja gani ya kukimbilia kukoment kabla hujaelewa? Au uwelewa wako ndio shida, sasa hapo umeandika nini kulingana na mada husika?
Hivi ni kweli hamjamuelewa? Au mna muattack tu?
Uzi unasema msioge maji moto.. hajafunga kwamba ni maji moto ya kuanika juani tu au na warm water.

Ye amereply mikoa yenye baridi wangekuwa wahanga. Means ame assume mikoa ya baridi watu wanaoga sana maji moto.

Au mm ndio sijaelewa uzi?
 
Hahahaa ila li sauna litamu. Ukitoka mule stress kwishneyy. Mwepesiii

Huu "utafiti" wa huyu Ndugu unafanya wanaume tuogope kwenda kutoa sumu kule sasa... Maana joto lake sio mchezo.
 
Hivi ni kweli hamjamuelewa? Au mna muattack tu?
Uzi unasema msioge maji moto.. hajafunga kwamba ni maji moto ya kuanika juani tu au na warm water.

Ye amereply mikoa yenye baridi wangekuwa wahanga. Means ame assume mikoa ya baridi watu wanaoga sana maji moto.

Au mm ndio sijaelewa uzi?
Wenyeji wa mikoa ya baridi wanaoga maji ya baridi kwasababu miwili yao imeshaadapt mazingira na hata utengenezaji wa mbegu za kiume unafanyika kutokana na level of temperature regulated internally. Labda wageni ndio wanaopasha maji moto kwa muda. Ili effect itokee ni lazima jambo lowe linafanywa continuously and regularly kwa wanaopita tu madhala ni madogo au hakuna kabisa.
Kwawewe Depal uliye Arusha kama unaoga maji ya moto bhasi ni kujiendekeza na kwenda kinyume na body functionality which will lead you to some illness in the future.
 
Huu "utafiti" wa huyu Ndugu unafanya wanaume tuogope kwenda kutoa sumu kule sasa... Maana joto lake sio mchezo.
Unaingiaga ya umeme au mkaa? Huu utafiti ni uchwara tu
 
Kwawewe Depal uliye Arusha kama unaoga maji ya moto bhasi ni kujiendekeza na kwenda kinyume na body functionality which will lead you to some illness in the future
Mwaka juzi ulikuwa na baridi. Sidhani km kuna siku nilioga maji baridi.

Mwaka jana nikioga mchana napo ni jua liwe linawaka. Km hamna jua sigusi maji baridi, labda nikiwa naosha kwa bibi.

Mwaka huu bana naoga maji direct kutoka bombani kwa mwezi huu Feb haswa jioni nikirudi/ mchana, jua linawaka balaa.. ila asbh sana siwezi maji baridi.
 
Kwahiyo una vipindi maalumu vya kuoga😄
 
Kwahiyo una vipindi maalumu vya kuoga😄
Nadhani hujaelewa. Vipindi maalum vya kuoga??

Ni pie. Kuoga asbh na jioni
Asbh maji moto
Mchana/ jioni ndo baridi.. napo jua liwe liliwaka vizuri tank likapigwa jua. Tofauti na hapo ya moto yako vile vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom