Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Watu kama awa[emoji36][emoji36]
IMG-20200325-WA0000.jpeg


*** the world
 
Wengi wenu mnao comment humu ndio walewale kasoro tarehe.

Mwanaume muda wa kukaa una chat chat kwenye simu unautoa wapi.

Mwanaume ukiona message kwenye simu yako unatakiwa umpigie simu aliye kutumia ili kuokoa muda.

unakuta mwanaume anataka achat na mwanaume mwenzake sasa sijui ili agundue nini.

Mwanaume kumtumia mwanaume mwanzako message mwisho tano tu tena hizo zina maelekezo mazito.
Umejoin JF 2019/03/22
Nimejoin JF 2019/02/24
.
Uko na Meseji Buku Mimi hata 800 sijafika
Wewe unachatika Sana Aisee huo muda umetoa wap ?
Nimekutangulia na umenizidi kakaa
 
Hivi ukisikia kitu hata Kama kimekukera hakiwezi kubaki kichwani? Hakuna kitu sipendi Kama taarabu ila Kuna kipindi wakati Bado nipo home zilinikaa kichwani cause sister wangu alikuwa anaziweka kila wakati... Tunasikiliza taarabu tu the whole day, yaani hata redio ikizimwa still unasikia taarabu kichwani
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nomaaaa
 
Mwanaume akiniita "my" huwa sijibu hiyo text

Mwanaume anayepost vijembe kwa status huwa nafuta namba kabisa ili nisizione maana mie sipendagi kublock mtoto wa mtu
Mbona mimi umeniblock[emoji134][emoji134][emoji134]
Au unafikiri mimi mtoto wa jiwe?
 
Back
Top Bottom