Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Au hii , Af hyo kwio hiv inamaanisha nn, maana hua najikuta nakereka tu nikiona mtu kaiandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
 
Inasikitisha wengi wanapenda kujifanya wanaume,Ila hawawezi kuuishi Uanaume..

Hatuwezi kuwa wanaume kwa sifa zisizo na tija za kuwa Mbabe,Jeuri,Mgumu ama wale wanaojiona nunda,Wasio na huruma ama wale wanaouona uhuni kama uanaume....(Sifa hzi haziwezi kuwa za mwanaume bali ni za wanaume Limbukeni!!!!!.)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
ila bongo mambo ya ajabu ajabu ndo hua yanahit sjui tupoje.
Itabd nikaiskilize... nmekumbuka na neno lingine 'Pambe' hili nalo silipendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni yako?? Kila mtu na lifestyle yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom