Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Nilivyoangalia avatar yako na comment yako nimeishiwa nguvu. Naona tayari umebasilisha.Acha kufanya maisha yawe magumu. Wewe kama huna uwezo wa kusherekea b day yako unatakiwa kupambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app