Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Screenshot_20200324-185002.png
 
Atakua hana tofauti na yule jamaa wa insta anatomea kenya sijui uganda anaimba nyimbo za wasanii tofautitofauti Akiwa ndani ya gar yake huku anabinua sana mdomo na macho anayazungusha
 
Inasikitisha wengi wanapenda kujifanya wanaume,Ila hawawezi kuuishi Uanaume..

Hatuwezi kuwa wanaume kwa sifa zisizo na tija za kuwa Mbabe,Jeuri,Mgumu ama wale wanaojiona nunda,Wasio na huruma ama wale wanaouona uhuni kama uanaume....(Sifa hzi haziwezi kuwa za mwanaume bali ni za wanaume Limbukeni!!!!!.)


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hua unaandika 'jomoni'?
 
Trending Toplist ya Maneno ya kichoko!

1.Kwio
2.Pambe
3. .........
 
Write your reply.


nimesoma komenti za juu nimeona jinsi wanawake wanavyoeleza kwa ufasaha jinsi wanavyotujua ngoja niwaongezee watufahamu vizuri

...mwanaume wa kweli ni sadistic ,women discriminator ,strictly, women abuser, polygamist in nature,stubborn, blunt, viwanafunzi and house girl manipulator, drugs abuser either alcohol or sigara ,chura lover,
📌
 
Mwanaume kila baada ya sentensi anaandika jomoni my
piga kelele kwa nyonyo ake wewee
kwio iyo kwio[emoji23][emoji23]
Afu zinga la jabali
 
Hizo tabia nazichukia sana adse

One love
 
Mhh me sijui
Ila nahisi kama we ni muongo
Me hapo nimenukuu maneno ya wmbo wa Lava lava
Itakuwa kayatoa huko huko. Hao akina lavalava si ndiyo hao hao wapiga vigoma walioadvance.

Unaweza mtoa mtoto wa mtaa mtaani, ila huwezi uondoa 'umtaa' ndani yake.

~I moved your cheese! So what?~
 
Back
Top Bottom