Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
Upuuzi kama huu ndiyo unapendwa Tz kuanzia Prof mpaka kina sisi Ngumbaru
 
Japo mimi sipendi mtu aniandikie vifupi vya kijinga Ila wengi humu mnaona kuandika ivyo kama dhambi hapana bhana unakuta mtu kazoea ku kufupisha akiwa anaandika kwa mnaojua principal of (note taking) kwenye seminar mikutano pia na kiuandishi ni ruksa kufanya ivyo dio dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ukawa unakaa na dadako kusikiliza taarabu!
Hivi ukisikia kitu hata Kama kimekukera hakiwezi kubaki kichwani? Hakuna kitu sipendi Kama taarabu ila Kuna kipindi wakati Bado nipo home zilinikaa kichwani cause sister wangu alikuwa anaziweka kila wakati... Tunasikiliza taarabu tu the whole day, yaani hata redio ikizimwa still unasikia taarabu kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijakublock nimefuta namba, maana umezidi vijembe status na wewe hata kama ndiyo mtoto wa kike teh.
Mbona mimi umeniblock[emoji134][emoji134][emoji134]
Au unafikiri mimi mtoto wa jiwe?
 
Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
Hivi Lava Lava ni mwanamke?

God save us
 
Kwanza mwanaume unasherekea birthday ili iweje?.unashangaa wengine wanalishwa keki wengine wanamwagiwa maji ..
 
Bora mmejisema unakuta dume zima njiani oh dada ake mie "Nigga u serious" nachefuka hatari, dume zima njia nzima ananukia usoni kapaka flani miguuni kapaka lotion akiweka na spray hatari, then tabia wakicheka mnabinua midomo haha. Nyingine maumbile yenu mnatakiwa mvae suruali ziko free now unakuta kavaa jinsi so tight inabidi mwendo ubadilike. Mnatuumiza mbavu tu njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom