Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
Haya maneno huwa nayasikia kwa wale malaya wanaocheza uchiuchi kwenye clubs za usiku.

~I moved your cheese! So what?~
 
Haya maneno huwa nayasikia kwa wale malaya wanaocheza uchiuchi kwenye clubs za usiku.

~I moved your cheese! So what?~
Mhh me sijui
Ila nahisi kama we ni muongo
Me hapo nimenukuu maneno ya wmbo wa Lava lava
 
Kawezaje kuandika ile mistari pale Kama hajakalili ??
Hivi ukisikia kitu hata Kama kimekukera hakiwezi kubaki kichwani? Hakuna kitu sipendi Kama taarabu ila Kuna kipindi wakati Bado nipo home zilinikaa kichwani cause sister wangu alikuwa anaziweka kila wakati... Tunasikiliza taarabu tu the whole day, yaani hata redio ikizimwa still unasikia taarabu kichwani
 
ndegemzungu

Usitake ku-complicate maisha zaidi ya hivi yalivyo. Hayo ni maisha binafsi ya mtu kufanya kile anachoona ni sahihi kwake kwa ajili ya furaha ya maisha yake. Kisa wewe hausherekei Birthday unataka na wenzako wasisherekee ?
 
Write your reply.


nimesoma komenti za juu nimeona jinsi wanawake wanavyoeleza kwa ufasaha jinsi wanavyotujua ngoja niwaongezee watufahamu vizuri

...mwanaume wa kweli ni sadistic ,women discriminator ,strictly, women abuser, polygamist in nature,stubborn, blunt, viwanafunzi and house girl manipulator, drugs abuser either alcohol or sigara ,chura lover,
 
Back
Top Bottom