Mwanaume akipost birthday is loading huwa namblock

Wengi wenu mnao comment humu ndio walewale kasoro tarehe.

Mwanaume muda wa kukaa una chat chat kwenye simu unautoa wapi.

Mwanaume ukiona message kwenye simu yako unatakiwa umpigie simu aliye kutumia ili kuokoa muda.

unakuta mwanaume anataka achat na mwanaume mwenzake sasa sijui ili agundue nini.

Mwanaume kumtumia mwanaume mwanzako message mwisho tano tu tena hizo zina maelekezo mazito.
 
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo comment ya kibabe niliyoielewa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake hata sijui. Ila nenda youtube sikiliza nyimbo ya Lavalava na Meja kunta wameitaja sana humor
Maneno yake kdg "
unanitaka kwioo
Una hela kwioo
Sijui nenda ukalale kwioo
Kwio hiyo kwioo
Piga kelele kwa kwioo ake wewe
Inshort ni vitu ambavyo havieleweki
Duh huku kiumeni hiyo misamiati wala haitakaa ifike. Ndio nasikia leo
 
Kuna watu wanatetea upuuzi,

maneno kama

kuja hiyo vepe,

kwio
haloooo
shosti
pambeeee
kijoraaaa

shoga nikupe umbea

mengi ya kipuuz yanapenda sana kuongelewa na machoko sasa ndio mana mnaoongea mkiwa wanaume tunashangaa, ila nyie mnaona sawa, A well civilized man yan a gentleman hawez kusema huo upuuz anavyorun convo na mwanamke, you gat to be a man not a mongoloid biachass nigger

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom