dedam
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 845
- 165
mwenye link gazetini aiweke hapa jamvini!
hii hapa (www.mwananchi.co.tz)
mwenye link gazetini aiweke hapa jamvini!
Duh digrii ya chupi!
ila ma-dc wetu wana vituko sana, mara matusi mara wachape walimu.........!
Kwa hiyo na wewe una degree ya chup*i maana hayo maswali yenu ya chupi* ndio yamekufaulisha. Shukuru Mungu unafanya kazi serikalini sekta binafsi hatutaki watu kama nyie wenye digrii za chup*i
Na yeye Mrisho Gambo huenda ukuu wa wilaya wake ni wa chup* maana alipewa tu kama zawadi tutajuaje kama na yeye hakuvua kupata uDC. Kwanza kiongozi mwenye busara hawezi kutoa kauli kama hii lazima atakuwa ameokotezwa huko na kupewa nafasi. Hii nchi aibu kIla sehemu, yote haya chanzo ni UDHAIFU wa rais Kikwete kuweka jamaa zake kwenye nafasi muhimu
Hii kesi rahisi sana kushinda. Kan kuwa na degree ya "chupping" ya kupiga nyumba lipu kuna tatizo? Mi ningejitetea kuwa amenisikia vibaya.
mkuu bhuluku sio kuwa wanavuta ban.g.e kabla hawajaingia ofisini?
Vijana wakipewa uongozi huwa wanatuangusha sana, that why nampinga Zitto na Movement yake, kuwa vijana tunaweza. ona aibu hii ya Gambo! hapo ni u-DC tu.
tatizo sio ubora wa vijana bali tunavyowapata. watu wanatafuta wale waramba miguu. matokeo yake ndio haya
Siyo kila post u-comment kama huna hoja! wapo walioelewa jombaa!!!Zitto sijui umemuingizaje hapo cdm sio chama cha kuleta ubaguzi wako wa rika,dini au we vp?