MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,004
Mkuu wa wilaya korogwe ndugu Mrisho Gambo amemwambia mwanasheria wa wilaya hii kuwa ana degree ya
chupi kufuatia majibu ya mwanasheria huyo dhidi ya kesi kati ya wafanyabiashara na halmashaur.
Mwanasheria huyo alishindwa kutoa maelezo ya kina juu ya sakata hilo ndipo dc akaamua amchane ......, source: mwananchi
Hii kitu aliisema kwa mafumbo au live? Kama live hakuna haja nyingine ya kudhihirisha kuwa yeye ni CCM damu damu. Na huyo mwanasheria akinyamaza itakuwa ya chupi kweli!
Sarakasi za CCM bana.