Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

Status
Not open for further replies.
Na u-dc wa chupi, ukurugenzi wa chupi, u-rc wa chupi, uwazir wa chupi. Yaani ni kichupichupi tu. Haya mambo yapo!!
 
evidence tosha ya kumfukuzisha kibaura huyo kwa udhalilishaji
wanaharakati mko wapi? kama mlishikia bongo la yule DC aliechapa walimu je huyu?
nadhani kuna jambo sio
 
Wateule wa Ridhiwani hao, yani wanafanya ofisi za umma kama vijiwe vya kahawa na kucheza bao. Huyu jamaa kafanya vijana tuonekane hatuna weledi na uwezo wa kuongoza. Ukweli ni kuwa haya ndio matunda ya kuwapa watu nafasi za uongozi ambao hawajakomaa kiakili na kiroho.
wasiwasi wangu ni kuwa kwa vile yupo karibu sana na jikoni inawezekana anajua haya mambo yanavyofanyika na kamsubject huyo mwanasheria bila kuelewa kuwa degree yake ni genuine. Maana naye hapo alipo nani anajua alivyofika?
Nimeona mtu mwingine akiandika hapa juu ya vitanda (viti) maalumu!

Atakua ameteleza tu, Mrisho ni mmoja wa vijana makini CCM hii ya mafisadi.
Tatizo la watanzania ni kupima umakini wa mtu kwa maneno anayoongea au porojo badala ya actions za mtu. Mtu aliye makini hawezi kufanya udhalilishaji wa kijinsia kama huo
 
Mkuu wa wilaya ya korogwe bwana mrisho gambo amemnanga mwanasheria wa wilaya ya korogwe
kuwa ana degree ya chupi. Kauli hii ilitolewa kwenye mkutano ambapo mwanasheria huyo alitakiwa
kutoa maelezo ya kesi inavyoendelea kati ya wafanyabiashara wa maduka na halmashaur hiyo.

Dc afafanue ni chupi ipi ya boxer kama hii niliyovaa au kale ka kamba.........teeeeeheeee
 
Mimi mwiisilamu safi ila sikubaliani na izi propaganda za Ccm.Ccm wata sababisha vita yakidini kwenye hii nchi.ngoja tuone watakapo tufikisha.
 
ndo mwone tunaposema vyeo vya kupeana vina madhara jamaa ni mteule wa RIZ1 na mshua anamkubali ona sasa kiburi chake anamdharirisha hivi. Mwanasheria ana kuwa na kesi nyingi sana angempa taarifa mapema ajiandae lakini siyo kumuambush tu kiasa JK an Riz1 ni marafiki zake. Mwisho wenu 2015
 
Tatizo la watanzania ni kupima umakini wa mtu kwa maneno anayoongea au porojo badala ya actions za mtu. Mtu aliye makini hawezi kufanya udhalilishaji wa kijinsia kama huo

Mrisho angekua mbali kimaisha na kisiasa kama angesema ndiyo mzee kwa EL kama vijana wengi walivyofanya kwa sababu hizi ndiyo siasa tawala ndani ya chama na hiki ni kitendo siyo maneno na hapo nikamuona makini alikua tayari hata kufukuzwa UVCCM pale Arusha kwa msimamo huu huu. haya siyo matendo kaka?
 
Ila ma-DC wetu wana vituko sana, mara matusi mara wachape walimu.........!

Ifike mahali na sisi wananchi wakituudhi tunawatia makofi hadharani!

Tumb..ff kabisa DC unakuwa na maneno ya hovyo kiasi hicho? UJINGA MTUPU!! Ndo madhara ya kuwapa vijana nafasi kuuuuuuuuuubwa wakati akili bado ni ya kitoto oneni aibu hiyo ya mwaka! DC unawezaje kutamka maneno kama hayo? Hata kama Binti kamtolea nje alipaswa kumsamehe au aje amwambie wakiwa wanapishana wawili kwenye corridor!

Vijana hatuwezi uongozi, tuwaachie wazee waendelee!!! ZITTO tafadhari bwana punguza Munkari angalau ufikishe 5oyrs!!
 
Huenda walisoma wote, hivyo anajua alivyokuwa akipata alama zake kwa njia hiyo ya chupi, ingekuwa serikari makini siyo dhaifu, huyu hakutakiwa kuwa DC hadi muda huu, angekua kishaachishwa na yuko mahakamani kujibu kesi ya kudhalilisha.
 
Mrisho angekua mbali kimaisha na kisiasa kama angesema ndiyo mzee kwa EL kama vijana wengi walivyofanya kwa sababu hizi ndiyo siasa tawala ndani ya chama na hiki ni kitendo siyo maneno na hapo nikamuona makini alikua tayari hata kufukuzwa UVCCM pale Arusha kwa msimamo huu huu. haya siyo matendo kaka?
Kusema ndio kwa EL ni kitu kingine na kuongoza ni kitu kingine. Kama kipimo cha uongozi Tanzania kusema ndio au hapana kwa Lowassa basi yule Laigwanan kaiweka nchi mfukoni.
Mrisho Gambo hana proven records za uongozi ktk nchi hii, ila ana proven records za kujipendekeza na kulitumikia kundi hasimu na Lowasa ndo akapewa fadhila la uDC. Lakini huo upuuzi wenu uishie huko huko CCM, Tanzania ya baada ya ccm kila mtu atapata nafasi za uwezo na sio kwa kupewa na Riz1
 
hawa watajuwa na bifu, au pengine DC kanyimwa uroda sasa ma-bad-feelings ndio yakamsukuma kumtusi mwenzake
 
Kusema ndio kwa EL ni kitu kingine na kuongoza ni kitu kingine. Kama kipimo cha uongozi Tanzania kusema ndio au hapana kwa Lowassa basi yule Laigwanan kaiweka nchi mfukoni.
Mrisho Gambo hana proven records za uongozi ktk nchi hii, ila ana proven records za kujipendekeza na kulitumikia kundi hasimu na Lowasa ndo akapewa fadhila la uDC. Lakini huo upuuzi wenu uishie huko huko CCM, Tanzania ya baada ya ccm kila mtu atapata nafasi za uwezo na sio kwa kupewa na Riz1

Mi siko CCM ndugu, ila kama kipimo cha siasa ni CCM na siasa zake sioni tofauti na CDM (ambao nahisi wewe ndiyo unawaongelea hapa) Hapo kwenye red zoezi rahisi kabisa la viti maalumu lilitawalia na nepotism na ukibaraka sasa wakiwa chama tawala sijui itakuaje...hamu ya mageuzi isitufanye tuwe na chuki binafsi na CCM mpaka kujipofu na mabaya ya upande wa pili na kujipa matumaini ya uongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom