Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

Status
Not open for further replies.

leloson

Member
Aug 7, 2011
71
9
Mkuu wa wilaya Korogwe ndugu Mrisho Gambo amemwambia mwanasheria wa wilaya hii kuwa ana degree ya chupi kufuatia majibu ya mwanasheria huyo dhidi ya kesi kati ya wafanyabiashara na halmashauri.

Mwanasheria huyo alishindwa kutoa maelezo ya kina juu ya sakata hilo ndipo mkuu wa wilaya akaamua amchane.
 
Mkuu wa wilaya ya korogwe bwana mrisho gambo amemnanga mwanasheria wa wilaya ya korogwe
kuwa ana degree ya chupi. Kauli hii ilitolewa kwenye mkutano ambapo mwanasheria huyo alitakiwa
kutoa maelezo ya kesi inavyoendelea kati ya wafanyabiashara wa maduka na halmashaur hiyo.
 
tehe tehe dc aangalie asije ingia kwenye kashfa, akina ananilea nkya wakisikia hiyo lzm wampandishe kizimbani, dc ana ushahidi?
 
Wateule wa Ridhiwani hao, yani wanafanya ofisi za umma kama vijiwe vya kahawa na kucheza bao. Huyu jamaa kafanya vijana tuonekane hatuna weledi na uwezo wa kuongoza. Ukweli ni kuwa haya ndio matunda ya kuwapa watu nafasi za uongozi ambao hawajakomaa kiakili na kiroho.
 
Yawezekana alisoma nae na aliona alivyokuwa akigawa uloda kwa malecturer, UDSM mbona ndo mchezo? maana personally nawajua madada walokuwa wakija na maswali tnayasolve na next day yanaappear kt exam, atatoa ushaid na mtashika midomo kwa aibu
 
Yes, tunalazimika kukubali kuwa degree yake ni ya chupi, kama kwa maneno aliyoambiwa na Mkuu huyu wa Wilaya atashindwa kumburuza mahakamani
 
Yawezekana alisoma nae na aliona alivyokuwa akigawa uloda kwa malecturer, UDSM mbona ndo mchezo? maana personally nawajua madada walokuwa wakija na maswali tnayasolve na next day yanaappear kt exam, atatoa ushaid na mtashika midomo kwa aibu
Kwa hiyo na wewe una degree ya chup*i maana hayo maswali yenu ya chupi* ndio yamekufaulisha. Shukuru Mungu unafanya kazi serikalini sekta binafsi hatutaki watu kama nyie wenye digrii za chup*i
Na yeye Mrisho Gambo huenda ukuu wa wilaya wake ni wa chup* maana alipewa tu kama zawadi tutajuaje kama na yeye hakuvua kupata uDC. Kwanza kiongozi mwenye busara hawezi kutoa kauli kama hii lazima atakuwa ameokotezwa huko na kupewa nafasi. Hii nchi aibu kIla sehemu, yote haya chanzo ni UDHAIFU wa rais Kikwete kuweka jamaa zake kwenye nafasi muhimu
 
Ila ma-DC wetu wana vituko sana, mara matusi mara wachape walimu.........!
 
Lo! Kamdhalisha sana hatakama ni ya chupi ningekuwa mi, lazima ni mpeleke mahakamani.ataendakusema wamemnukuu vibaya
 
Hata kama alitoa uroda akapata degree ni aibu kumdhalilisha mkutanoni.wanasiasa wanawadharau wasomi sijui nchi inaelekea wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom