Mimi naamini kama serikali ni ya haki kweli lazima raisi atoe nafasi ya hawa watu kufikishwa mahakamani ili wajibu tuhuma zinazowakabili. Mimi naamin kama kweli raisi wetu anataka tuone utumishi wake kipimo kiko kwenye suala hili la watuhumiwa wa ESCROW vinginevyo hakuna kiongozi anayaweza kuaminika ccm.