Mwanao ameshawahi kukuaibisha mbele ya watu?

Mwanao ameshawahi kukuaibisha mbele ya watu?

Nakumbuka kipindi nipo form 1...nilikuwa kwa mjomba huko ziwani....Sasa kule watu uwaga tunaogea mtoni...siku hiyo nilienda na Mtt wa mjomba kuoga Sasa kurudi nikamsikia anawaadithia kina shangazi na majirani kuwa Mimi pichu yangu imetoboka....dar nilitamani ardhi ipasuke......ila siku ya pili nilinunua mpya nikamchukua kama kawaida akaja kuwaadisia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me mtoto wa cousin yangu nilienda kumtembelea zaman nikiwa nimelala kikanilalia alafu kinajikaza kama tunafanya sex chakumfanya sina, staki laana, kumchapa siwezi nikaamka nikaenda seblen nimekaa kikanipandia tena na mama ake anakiangalia tu
na wazazi ni wasomi wanashindwa hata kustudy akili ya mtoto wanajiachia mbele yamtoto nye* gan izo
 
Zaman kidogo kipindi mdogo wangu ana 3yrs kuna kaka yangu alikua amempa mimba binti wa mtaani pale sasa akawa anamsimulia rafiki yake na dogo akiwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku wakati wa msosi na baba akiwepo dogo akasimulia yotee [emoji23][emoji23][emoji23] dah ile siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mitoto mingine bhana
 
Nilimtembelea shost, yeye na mume wake wana watoto wawili mmoja five mwingine seven years. Jirani yao alikuwa mjamzito, yule wa seven years anauliza mtoto anaingiaje tumboni. Mume wa shost kusikia swali alichomoka akatuambia anakwenda kuangalia mpira pub, tulibaki na shost tunajikanyaga, atakwenda hospitali atajifungua, ndiyo lakini anaingiaje tumboni?
 
Nilimtembelea shost, yeye na mume wake wana watoto wawili mmoja five mwingine seven years. Jirani yao alikuwa mjamzito, yule wa seven years anauliza mtoto anaingiaje tumboni. Mume wa shost kusikia swali alichomoka akatuambia anakwenda kuangalia mpira pub, tulibaki na shost tunajikanyaga, atakwenda hospitali atajifungua, ndiyo lakini anaingiaje tumboni?[/QU
Majanga hayo mkuu
 
Nakumbuka kipindi nipo form 1...nilikuwa kwa mjomba huko ziwani....Sasa kule watu uwaga tunaogea mtoni...siku hiyo nilienda na Mtt wa mjomba kuoga Sasa kurudi nikamsikia anawaadithia kina shangazi na majirani kuwa Mimi pichu yangu imetoboka....dar nilitamani ardhi ipasuke......ila siku ya pili nilinunua mpya nikamchukua kama kawaida akaja kuwaadisia....

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahaha hata Mimi kuna nyumba niliwahi tembelea wakati tupo kwenye maongezi mtoto mdogo miaka kama miwili akatoka na kile kimti cha kukandia chapati akanionyesha huku akisema "dudu ya baba"

[emoji3][emoji3] aisee!!! Da! Haya bhana.
 
Nakumbuka siku moja tukiwa kanisani mdogo wangu mwenye miaka 4 akiwa amepakatwa na mama huku kanisa likiwa limetulia alisikika akisema.

[mama nataka TUTO******E na kanisa zima tukasikia] kwa kweli mama alijisikia aibu sana japo hatukujua watu wamelichukuliaje na dogo hakujua ameongea nini, kama na wewe mwanao ashawahi kukuaibisha tuambie.
Ningemtia bonge moja ya ukuchaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom