Mwanao ameshawahi kukuaibisha mbele ya watu?

Mwanangu wa 4yrs wiki chache zilizopita nilikuwa nae kanisani nimempakata. Wakati wa mahubiri kanisa limetulia akapiga chafya ikaambatana na kijambo chenye mlio mkubwa, niliona aibu sana maana waliokaa karibu yangu waligeuka kunitazama.
Nakumbuka miaka ya nyuma jumapili, mtoto wangu wa kiume anamsumbua mama yake , anakimbia chumbani anatoka na kiatu cha mama yake, mama yake anamkaripia anakimbia mbio kurudisha, karudi mara ya pili na pochi , huku wageni wanamsihi mama muache acheze, loo safari ya tatu karudi kavaa chupi ya mama yake kama kilemba, ilibidi nitoke naye nje , mbavu sina, mke wangu ukitaka ulale njaa mkumbushe hilo
 
Mi nilicheka mpaka nikaishiwa nguvu, sio peke yangu tu karibu abiria wote tulicheka. Mama alishindwa kuvumilia ile aibu aliamua kushuka kabla ya kituo chake. Nadhani mtoto cha moto alikiona huko mbele ya safari[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima mkuu, sitaki kuipimia hiyo aibu iliyompata bi mkubwa huyo [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nilienda home kwa mshikaji wangu, kufika kule nikakuta godoro limeanikwa uani. Mshkaji wangu alikua ana mdogo wake mdogo wa std 5, nikamuuliza dogo " we dogo mpaka umri huu bado unakojoa kitandani tu?" Muda huo tupo mimi,dogo na mshkaji wangu, bhn wee dogo si ndo akakataa "aku aku sio mimi niliyekojoa", taratibu nikaona mshkaji anatokomea pale sebuleni kuelekea chumbani kwake, mi nikawa nimeshaelewa muhusika ni nani[emoji4] [emoji4] . Mshkaji kajifungia chumbani kwake na hakurudi tena sebuleni, ilibidi nimtume dogo akaniagie kwa bro wake. Ilikuwa bonge la soo kwa mshkaji, kila tukikutana anajisikia aibu sana

Nao mwana hakutumia akili kabisa... Alishindwaje kumkomalia dogo ni yeyee??? Yani ningekunja sura mamaeee ya Mbuzi nzurii mbonaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana Krismas tupo home Tabata tumeenda kukutana kifamilia kama ilivyo ada, tumekaa pale sasa braza mkubwa ana mwanae wa kwanza ana kama 12 hivi akawa anatusimulia, jana yake yaan tareh 24 dogo kaja kawakuta bro, mama ake, na bi mkubwa na aunt zake wanapiga stori kidogo kikapita kingedere kikubwa na Mbupu zake za rangi gani sijui ile. Dogo akauliza, eti baba kile cha Bluu ni nini!? Wote waliishiwa pozi, jamaa akamfukuza tu kibabe dogo, ila kesho yake tupo pamoja sasa akawa anatuelezea, kidogo dogo akapita akamuita na ngedere walikuwepo akamuuliza, ina maana wewe hujui kile ni nini? Dogo akajibu, nimeshajua baba, akamwambia poa nenda kacheze
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka miaka ya nyuma jumapili, mtoto wangu wa kiume anamsumbua mama yake , anakimbia chumbani anatoka na kiatu cha mama yake, mama yake anamkaripia anakimbia mbio kurudisha, karudi mara ya pili na pochi , huku wageni wanamsihi mama muache acheze, loo safari ya tatu karudi kavaa chupi ya mama yake kama kilemba, ilibidi nitoke naye nje , mbavu sina, mke wangu ukitaka ulale njaa mkumbushe hilo
 
Daah this made my day [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka miaka ya nyuma jumapili, mtoto wangu wa kiume anamsumbua mama yake , anakimbia chumbani anatoka na kiatu cha mama yake, mama yake anamkaripia anakimbia mbio kurudisha, karudi mara ya pili na pochi , huku wageni wanamsihi mama muache acheze, loo safari ya tatu karudi kavaa chupi ya mama yake kama kilemba, ilibidi nitoke naye nje , mbavu sina, mke wangu ukitaka ulale njaa mkumbushe hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambo kidogo tumekaa na mwanetu akiwa na miaka mitano Hivi, na wife na mdogo wa wife.
Dogo kuna muda akajiropokea" mama,mamdogo anamkulaga baba mdomo"... Mama alipuuzia ila kuna kitu kilikaa kuchwani mwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom