luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,801
Nilienda kwa Dada kumtembelea, na nilikuwa sijawahi mtembelea mpaka pale nilipomalizaga f6:
Mtoto wa Dada wa kwanza ni msichana, wakati huo alikuwa na almost like 4yrs,mtoto alinipenda sana Mara aombe nimbebe, wakati wa kulala mtoto kagoma na kulia anataka kulala Mimi.
Dada aliolewa na Mme mambo safiii so wana bonge la jumba vyumba vya kutosha hata wakipata wageni 3 kila MTU analala chumbani kwake.
Mtoto alivyolia basi Dada akasema tulale wote.
Tulivyo lala baada ya kama nusu saa kitoto kinanipigia story Mara nasikia kama kinapitiwa usingizi
Kidogo tu kikanikumbatia, nikatoa mkono kikarudisha, Mara kikaniwekea mguu juu Mara kikaanza kama vile kinafanya tendo kabisa kinarudi Nyumba mbele. Nikashutuka na kushangaa nikawasha tochi ya simu nione kama kimesinzia nikakuta kweli kimefumba macho.
Nikamsogeza mbele na mm nikasogea ukutani kitanda kilikuwa kikubwa tukalala.kustuka kama saa 11 nikakuta kimenikumbatia mkono kwenye nyonyo.
Nikawaza huyu mtoto vipi,?
Asubuhi nikawaza nakosa pozi la kimwambia Dada, Mara tunakunywa chai kikasema " mama wewe una nyonyo kubwa aunti ana tudogo"
Ni kasema hapa hapa, nikamwambia Dada kwa kiruga tutoke nje nikamsimulia, alistuka akasema wanalala nae, baba yake anapenda sana chumbani kwake anaogopa akilia wanamleta chumbani kwao, ila akasema mbona anakuwa kasinzia?
Dada aliumia sana akasema alijua bado mtoto mdogo.
Wazazi kuweni makini.