kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,811
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningemtia bonge moja ya ukuchaaa
Juzi kuna katoto kanamiaka kama 3 kako na mama yake ofisi ya watu, tuko watu kibao, mtoto akasema kwa sauti kubwa "Mama msamehe Baba"
Mama yake akamjibu "nyamaza"
Kila mtu kwenye ile ofisi akatabasamu, watu wazima tukaelewa tu kwenye hiyo familia kuna ugomvi unafukuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasheshe ni pale kwa mtoto anayeanza kuongea kisha umnyang'anye bakuli lake la uji na kwa uroho wako uanze kuulamba huo uji ndipo utakaposikia lugha hii toka kwa mtoto, "mama huyu hapa ANATO...UJI" akimaanisha mama huyu hapa anakomba uji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo banaHahaha hata Mimi kuna nyumba niliwahi tembelea wakati tupo kwenye maongezi mtoto mdogo miaka kama miwili akatoka na kile kimti cha kukandia chapati akanionyesha huku akisema "dudu ya baba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machoziHahaha hata Mimi kuna nyumba niliwahi tembelea wakati tupo kwenye maongezi mtoto mdogo miaka kama miwili akatoka na kile kimti cha kukandia chapati akanionyesha huku akisema "dudu ya baba"
Nakumbuka siku moja tukiwa kanisani mdogo wangu mwenye miaka 4 akiwa amepakatwa na mama huku kanisa likiwa limetulia alisikika akisema.
[mama nataka TUTO******E na kanisa zima tukasikia] kwa kweli mama alijisikia aibu sana japo hatukujua watu wamelichukuliaje na dogo hakujua ameongea nini, kama na wewe mwanao ashawahi kukuaibisha tuambie,tiririka