Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,715
- 10,244
Hahahah mzee ulikuwa unapiga GG [emoji1787][emoji1787]Kitambo kidogo tumekaa na mwanetu akiwa na miaka mitano Hivi, na wife na mdogo wa wife.
Dogo kuna muda akajiropokea" mama,mamdogo anamkulaga baba mdomo"... Mama alipuuzia ila kuna kitu kilikaa kuchwani mwake.
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app