GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,093
- 1,740
Nakumbuka siku moja tukiwa kanisani mdogo wangu mwenye miaka 4 akiwa amepakatwa na mama huku kanisa likiwa limetulia alisikika akisema.
[Mama nataka TUTO******E na kanisa zima tukasikia] kwa kweli mama alijisikia aibu sana japo hatukujua watu wamelichukuliaje na dogo hakujua ameongea nini, kama na wewe mwanao ashawahi kukuaibisha tuambie,tiririka