Mwanao ameshawahi kukuaibisha mbele ya watu?

Mwanangu wa 4yrs wiki chache zilizopita nilikuwa nae kanisani nimempakata. Wakati wa mahubiri kanisa limetulia akapiga chafya ikaambatana na kijambo chenye mlio mkubwa, niliona aibu sana maana waliokaa karibu yangu waligeuka kunitazama.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Akili za usiku
 
Hahaha hata Mimi kuna nyumba niliwahi tembelea wakati tupo kwenye maongezi mtoto mdogo miaka kama miwili akatoka na kile kimti cha kukandia chapati akanionyesha huku akisema "dudu ya baba"
hahahahahahahah aisee..
 
Dah ktambo kdogo kpndi nina miaka kama 15 hv kuna siku ktoto cha jiran kilikuja nyumban cha kiume si Unajua kawaida ya watoto nimekaa kwenye kochi kikaja kikalala kwenye kochi Kchwa kikaweka kwenye mapaja sina hili wala lile bi Mkubwa akatokea nakisikia knamwambia bi mkubwa mama edwn edwin ana dudu kubwa .. niliishiwa POZI kabisa na B Mkubwa naye namsikia ananiambia eenh si umeonyesha niliijisikia VBAYAA Kupitilizaaaaaaa nikahisi kama Bmkubwa ataniona nina tabia za kshenz Toka sku hyo nikapiga bTi kisionekane home

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole edwin......
 
Mwanangu wa 4yrs wiki chache zilizopita nilikuwa nae kanisani nimempakata. Wakati wa mahubiri kanisa limetulia akapiga chafya ikaambatana na kijambo chenye mlio mkubwa, niliona aibu sana maana waliokaa karibu yangu waligeuka kunitazama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwanangu wa kike ana miaka miine, kafundishwa kusoma na dada yake, sasa kaotea bwana kigazeti cha udaku akakutana na tangazo la nguvu za kiume!!!
Ile nafika tuu ananiuliza Baba wee unazo nguvu za kiume !!!! Duuu !!
 
siku flani nimemtembelea sister angu,nikawa nimeomba kuingia msalani for short call,kitoto chake cha miaka mitatu,kikaniuliza kwa nguvu,Uncle unaenda kunya...watu walicheka,bahati nzuri hakukua na mgeni wote tulikua ni family members tu..ila niliona aibu sana.
 
Haaaahaaa
 
Mtoto wa jiran mdogo sana wa kike kacheza Home akalala sebuleni katika makochi akawa amelala kifudifudi mara akaanza kuota akawa kama ana pampu kiuno anapandisha juu na kushusha huku akitoa sauti kali za miguno ya kimahaba sema nilikuwa mimi na mzee tunachek taarifa za habari ilibidi nimuamshe fasta mzee akasema apelekwe kwao sasa ni muda kidogo mpaka leo huwa nikienda Home madogo wananiuliza kwani yule dogo alifanya nini mbona mzee aliwaka sana sema na mimi najifanya nimesahau.
 
Dah ktambo kdogo kpndi nina miaka kama 15 hv kuna siku ktoto cha jiran kilikuja nyumban cha kiume si Unajua kawaida ya watoto nimekaa kwenye kochi kikaja kikalala kwenye kochi Kchwa kikaweka kwenye mapaja sina hili wala lile bi Mkubwa akatokea nakisikia knamwambia bi mkubwa mama edwn edwin ana dudu kubwa .. niliishiwa POZI kabisa na B Mkubwa naye namsikia ananiambia eenh si umeonyesha niliijisikia VBAYAA Kupitilizaaaaaaa nikahisi kama Bmkubwa ataniona nina tabia za kshenz Toka sku hyo nikapiga bTi kisionekane home

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom