Yaani Kati ya habari za kifo ambazo hazikunishtua wala kuniumiza Ni hii ya AKA sijui hata kwanini, yaani nilivyoiona ni Kama ninavyoangaliaga utabiri wa Hali ya hewa no reaction at all!
Hata mie sijui kwann, sijashtuka wala kuhisi chochoteee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom