What a dignified send-off. Rest well AKA.

1676758232778.jpeg
 
Kuna watu ukiwatazama tu usoni wanaonekana hulka yao kwa kuwatizama kwenye macho tu, huyu AKA alionekana km muhuni, tozi, bandidu, kiburi na mwenye majivuno, kuuawa kwa kupigwa risasi ilikuwa inajionyesha kabisa usoni mwake kwa watu wenye kipaji cha kuona hicho walikiona ndo maana imekuwa kama utabiri kutimia

Mwingine ni yule mama wa kinigeria aliyeimba ekwueme, ule wimbo na sauti yake ukisikia ni km ina majonzi kwa aliyokuwa akipitia wakati ule, mara ya kwanza mi kuusikia nilihisi kitu km hicho na kuna kitu kilinambia atakufa kwa kipigo cha mumewe ila nilipuuzia kwa kudhani nimetekwa na hisia za wimbo tu,, kilichotokea sasa,,,,
You hv something very special.
 
AKA amefariki, rafiki ndiye amekufa. Ndio maana taarifa kwa kiasi kikubwa zinamtaja AKA wengine hao ni vidampa hawana thamani.
Hii imenikumbusha ajali iliyomchukua cool james dandu, yule jamaa aliyegongana naye hakuwa anatajwa
The difference won't save any purpose. Wote wamefukiwa vumbini.
 
Nilikua nadhani huyu marehemu AKA ni mixed colour lakini baada ya kuangalia mazishi yake na kuiona familia yake i.e baba na mama yake na ndugu zake wengine waliokuwepo pale, nimegundua hawa jamaa watakua na asili ya Mauritius au Madagascar. Inawezewekana wazazi wake asili yao walitokea huko.
Nimefuatilia pia mahojiano yake baada ya fiancee wake kufariki, nimeona huyu jamaa hakumrusha yule mpenzi wake na wala haikua suicide, ila yule binti Nelle baada ya ugomvi wao ule alikimbia kipigo ndio kujirusha vile maana jamaa alikiri kuwa anatumia drugs.
Somo hapa ni kua kwenye mapenzi/ndoa ni vizuri mkishindwana mnaachana kwa usalama kila mmoja anashika 50 zake, mkijifanya eti mnapendana mwisho wake uwa sio mzuri kama hawa ilivyotokea.
KATAA NDOA SIO SULUHISHO, PATA MTU UNAEENDANA NAE....RIP
 
Nilikua nadhani huyu marehemu AKA ni mixed colour lakini baada ya kuangalia mazishi yake na kuiona familia yake i.e baba na mama yake na ndugu zake wengine waliokuwepo pale, nimegundua hawa jamaa watakua na asili ya Mauritius au Madagascar. Inawezewekana wazazi wake asili yao walitokea huko.
Nimefuatilia pia mahojiano yake baada ya fiancee wake kufariki, nimehisi huyu jamaa hakumrusha yule mpenzi wake, ila yule binti Nelle baada ya ugomvi wao ule alikimbia kipigo ndio kujirusha vile maana jamaa alikiri kuwa anatumia drugs.
Somo hapa ni kua kwenye mapenzi/ndoa ni vizuri mkishindwana mnaachana kwa usalama kila mmoja anashika 50 zake, mkijifanya eti mnapendana mwisho wake uwa sio mzuri hawa ilivyotokea.
KATAA NDOA SIO SULUHISHO PIA....RIP

Kuna watu wengi wana matatizo ya akili na nyinyi wanaume na wanawake huwa mnapenda mtu mwenye uchesi sana na mtani sana na ukimuuthi kidogo ana tishia kusepa alafu mnarudiana tena penzi kuwa motomoto kila wakati!
Basi hilo purukushani kuna wanaume na wanawake wengi wanalipenda!
Tafadhali nawaomba wanawake na wanaume muwe extra careful na watu kama hao!
Huwa kuna vifuse flani vimeachia walahi!
 
Daah noumer, ila kuua mtu na pistol kwa ukaribu vile lazima uwe umepiga msuba aka mjani aka ganja aka bangi..hamna mbongo mwenye roho ngumu kama wasouth angemfanyizia mwigulu - jamaa simpendi yule kwa madharau yake.
Sasa ma hitman huko si watu waliyopinda na maisha,they don't care
Kuhusu kitu chochote
Akipewa mln 3,4 ya kibongo anaingia kazini

Ova
 
Haya mambo ndiyo yalifanyaga nikaahirisha kwenda Marekani, zero security, muda wowote unakula shaba...

Ni bora utulie bongo na ki take home chako cha 700k, kuliko kwenda kuishi kwa stress nchi za watu.
Endelea kujifariji..! Sishangai

Hata wazungu wenginepia hawana exposure.. wanajuwa huku aftica bafo tunaishi na wanyama pori hivyo basi tupi kwenye mazingira hatarishi muda wowote mtu anaweza kuliwa na simba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom