Ye Soya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 237
- 249
majukumu dadangu yalinizidi. Wamekosa la kufanya wanakuja kutushambulia humu...urembo wetu usiwe tabu..wakome..
mdada umepotea kweli
wanatushambulia na kabila letu
hebu watuachage tupumue maana
tunawanyima usingizi hahahaaaa!!