Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,631
- 1,657
naona kama unyoyasema yana ukweli fulani kwa harakaharaka....nakuunga mkono...lakini bado haya mambo yanachanganya sana. kwa mfano mimi ninapokaa nina jamaa kaoa mpare na wamezaa naye watoto wawili, yule mama anagongwa mpaka namuonea jamaa huruma, kama hiyo haitoshi, kuna rafiki yangu tena anatembea na mke wa mtu na mke huyo ni mpare, sasa sijui niseme tu na wapare na ni balaa kwa kutumia huo ushahidi? Hali hiyohiyo nilikutana nayo kule mtwara (kwa wamakonde na wamakua)ambapo kuna wake za watu kibao wanatafunwa na mijamaa ya mitaani tu na mpaka wake hao wanagongana katika kupangwa...hii inatosha kuniaminisha kuwahayo makabila ni ovyo?
Kaka mimi sijawahi kwenda urangini ila ninaowafahamu ni wale wachache wa Dar. Kimsingi, mbali na hawo wake wa marafiki zangu wachache, jirani yangu naye ni mrangi. Ni dada mmoja hivi aliyezalishwa watoto wake wanne kwa kila mtoto na baba yake. Ni watoto wakubwa na hivi ninavyokwambia, watoto wakike wawili wameamua kuacha shule wenyewe (mmoja Form 3 na mwingine Form 1) kwasababu wanachotaka wao ni kuto.... na siyo kusoma. Nenda sasa kwa mama yawo ambaye ninamkadiria kuwa na miaka kati ya 43 na 48 ndio utakoma kabisa kwani anavyobadilisha pale mpaka wanaokuja unawaonea huruma wanapopishana. Hapana kaka mtanisamehe kama mumeoa huko na nyinyi siyo wakabila hilo ila mrangi hapana. Hawezi kuwa wife material. Siwaonei ila hapana kwa wale wachache ninaowafahamu, mrangi hawezi kuwa wife material. Ni pasua kichwa ile mbaya.