Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
 
samahan sana vp nitampataje huyo ndugu naomba msada wako
Kwa msaada wa kumpata huyu bwana nitakudanganya. Ila nakushauri uanzishe thread mpya yenye kichwa cha habari "Namtafuta Bw. Mwigulu Nchemba,ili anisaidie ushauri jinsi ya kupata MKE wa Kirangi". Kila la kheri mkuu.
 
hapo mkuu ndo napenda kujua kwanin umesema hivyo naomba nieleweshe zaidi

Sikiliza mkuu, Tabia za watu huwezi kuzigeneralise kwa makabila, kwani tabia zzipo za kila aina ktk kila kabila, mm sidhani kigezo hapa kama ni kabila, issue ni tabia ya mtu, na unachotakiwa kufanya ni kumchunguza mhusika mazingira anapoishi, tabia yake na maadili ya familia alikotoka kwa wazazi wake , hiyo itakupa picha kamili. nimetembea sehemu tofautix2 ktk tanzania na hata nje na tz, kitu ambacho naweza kukuambia hakuna mwanamke ambaye ni perfect, mwanamke ili akuvulie chupi ni lazima kwanza ajiashue secrecy ya kutosha, awe huru na wewe, na ajisikie secure na wewe, hayo tu kwa mwanamke yeyote duniani hata mtoto wa obama unaweza chukua. tunachojali hapa ni yale maadili ambayo mtu binafsi anakuwa naye regardless of kabila, dini au chochote kile, kwa hiyo maadili kwanza.
 
Kwa msaada wa kumpata huyu bwana nitakudanganya. Ila nakushauri uanzishe thread mpya yenye kichwa cha habari "Namtafuta Bw. Mwigulu Nchemba,ili anisaidie ushauri jinsi ya kupata MKE wa Kirangi". Kila la kheri mkuu.

asante nitalifanyia kazi wazo lako
 
Kwa msaada wa kumpata huyu bwana nitakudanganya. Ila nakushauri uanzishe thread mpya yenye kichwa cha habari "Namtafuta Bw. Mwigulu Nchemba,ili anisaidie ushauri jinsi ya kupata MKE wa Kirangi". Kila la kheri mkuu.
Hahahahahaha!
 
aicee 90% wanapenda limbwata ndani ya ndoa af kwa historia yangu demu wa kirangi hajawahi kunikataa,kuna mwingine alinikubalia nakuja home namueleza bro ananiambia yle ni demu wake na ushahidi kibao, anyway maybe wako yuko kune 10%
 
kwa kukufahamisha warangi ni waadilifu ni wabantu hawa, hila kuna kabila la waasi hawa ndio laini sana kama wambulu hawa ni nailitiki lakini ujiita warangi .chunguza utaona hilo
 
Kwa msaada wa kumpata huyu bwana nitakudanganya. Ila nakushauri uanzishe thread mpya yenye kichwa cha habari "Namtafuta Bw. Mwigulu Nchemba,ili anisaidie ushauri jinsi ya kupata MKE wa Kirangi". Kila la kheri mkuu.

Hapa changanya na za kwako aisee..
Huu sio ushauri ila ni nguvu za giza...
 
Nisikize Mimi Eric,Hao wadada wa kirangi achana nao fuata ushauri wa zamlock,99% si waaminifu hawaoni hasara kutembea na houseboy,hawaoni hasara kutembea na babamkwe!! Nina mifano hai kibao hao watu usijaribu kabisa lazima watakutafunia tu wavulana wa kitaa biliv dat.
 
kwa kukufahamisha warangi ni waadilifu ni wabantu hawa, hila kuna kabila la waasi hawa ndio laini sana kama wambulu hawa ni nailitiki lakini ujiita warangi .chunguza utaona hilo

Ni kweli mkuu Wasi huwa wakitoka nje ya kondoa hujitambulisha kuwa nao ni warangi ni kabila dogo sana ambalo linapatikana kama vijiji 5 tu. hawo ndiyo kidogo hawana hiyana kama wamachame vile.
 
hahahaa Borat..
mependa tu jina lako, weka bac na avatar yA BORAT............ LOL..

Back
Top Bottom