Mwanamke wa kirangi

Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
Kudowea nje na mwenzio asijue ni akili ya mtu wala sio kabila.
Na mtasema sana sie bado tupogo.
Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu . . .
ni kweli ila nyie kuhusu hilo mmebobea kwa kweli...mnaweza mkagawa kwa vijana wa nyumba nzima bila wenyewe kujigundua mpaka pale mtakapokuwa mmenasa mimba ndio msala unakuwa mzito maana vijana wale kila mmoja ataanza kujisifu kuwa mimba ni yake kumbe hata huenda kati yao hakuna muhusika...muhusika ni mangi wa gengeni.....big up!
 
sasa muwaonee hawa madada maana mmewaskama vya kutosha ikiweomo na mimi mwenyewe...sasa baada ya ''big results now'' tuseme imetosha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom