Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,173
warangi wengi mbona maustaadhat, sasa wewe castle wataka za nini na huu mfungo?
twende zetu sie
ubebe castle za kopo
mi siwezi kusafiri bila kujiburudisha njiani!!
warangi wengi mbona maustaadhat, sasa wewe castle wataka za nini na huu mfungo?
twende zetu sie
ubebe castle za kopo
mi siwezi kusafiri bila kujiburudisha njiani!!
Mkuu Mwita Maranya, huna haja ya kwenda kondoa kufanya utafiti, we mwenyewe umeona dismynder1 alivyorahisi, yaani ukiwa na castle za kopo tu unabeba mzigo kwa ajili ya kiburudisho wakati wa safari, sasa hapo kuna haja ya kwenda tena kujaza questionares kondoa? Mnaweza mkaamua kutumia siku 3 njiani ili mkamilishe utafiti vizuri ingawa safari yenyewe unaweza kwenda kwa cku moja tu. Walaini mno hawa warembo wetu wa kirangi! Jooli dismynder1!Duh Snipper mbona unanitisha. Kama umeshajua methodology ntakayotumia basi hata majibu ya kautafiti kangu umeshayajua though!
Snipper mbona tena umeamua kumkosea adabu rafiki yangu dismynder1? au unaona wivu mimi nikipata kampani yake? Potelea pote najua disyminder1 hatomaindi vijineno vyako.Mkuu Mwita Maranya, huna haja ya kwenda kondoa kufanya utafiti, we mwenyewe umeona dismynder1 alivyorahisi, yaani ukiwa na castle za kopo tu unabeba mzigo kwa ajili ya kiburudisho wakati wa safari, sasa hapo kuna haja ya kwenda tena kujaza questionares kondoa? Mnaweza mkaamua kutumia siku 3 njiani ili mkamilishe utafiti vizuri ingawa safari yenyewe unaweza kwenda kwa cku moja tu. Walaini mno hawa warembo wetu wa kirangi! Jooli dismynder1!
twende zetu sie
ubebe castle za kopo
mi siwezi kusafiri bila kujiburudisha njiani!!
mi sijamkosea adabu ila nimeongea ukweli tu, ila kama unavyojua kawivu hakawezi kukosa hasa unapoona mwenzako ameuliza kidogo tu na kukubaliwa bila hata kutumia nguvu kubwa ya ushawishi...castle za kopo tu kwisha habari yake..chezea warangi wewe?Snipper mbona tena umeamua kumkosea adabu rafiki yangu dismynder1? au unaona wivu mimi nikipata kampani yake? Potelea pote najua disyminder1 hatomaindi vijineno vyako.
warangi wengi mbona maustaadhat, sasa wewe castle wataka za nini na huu mfungo?
​owk wo nt kuhusu hilo!!Usijali sana dismynder1 nitafanya hivyo kwa ajili yako ili niifurahie safari yangu ya Kondoa kwa mara ya kwanza.
​yani huyu Snipper nitamloga we muache!!Usijali sana dismynder1 nitafanya hivyo kwa ajili yako ili niifurahie safari yangu ya Kondoa kwa mara ya kwanza.
aaah,
mmbichwa ule ka boga la kiangazi
Mwita Maranya shemeji yangu kwa taarifa yako
tena ushindwe,naona safari yetu inakuwasha unataka uunge tela!!
aaah,
Sina hata mpango na hyo safari maana najua nikiwataka warangi nakamatia hapahapa kwa castle baridi tu mbili tatu...ila Mwita Maranya utafaidi kwa kweli..uzuri ni kuwa hata kama ni shemeji hakunaga kizuizi..
aaah,
Sina hata mpango na hyo safari maana najua nikiwataka warangi nakamatia hapahapa kwa castle baridi tu mbili tatu...ila Mwita Maranya utafaidi kwa kweli..uzuri ni kuwa hata kama ni shemeji hakunaga kizuizi..by the way, dismynder1 huna mdogo wako na mimi nikapanga nae safari? Kama yupo nipigie pande mwayaa!
mmbichwa ule ka boga la kiangazi
Mwita Maranya shemeji yangu kwa taarifa yako
tena ushindwe,naona safari yetu inakuwasha unataka uunge tela!!
umeona eeh! Naomba basi ukikaa nae ujarib kumshawish kama ana mdogo wake na mimi angalau anipe kampan kwenda huko kufanya karesearch kanguPunguza jazba shemeji yangu dismynder1 anachofanya Snipper ni maneno ya mkosaji tu. Yeye anajifanya kuwajua warangi halafu hapo hapo anaomba msaada kwako!!!
Punguza jazba shemeji yangu dismynder1 anachofanya Snipper ni maneno ya mkosaji tu. Yeye anajifanya kuwajua warangi halafu hapo hapo anaomba msaada kwako!!!
Huu uzi huu.......sijui kuna nini hasa hapa? eti @dysminder1?
polen kwa kusingiziwa ukweli
si wanatusingizia warangi
sifa mbaya ambazo hatuna khaaa!!
watoto kujaaliwa ishakua tabu!!
polen kwa kusingiziwa ukweli
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu