Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Mpe hela
Mpe hela
We mpe hela
Mpe hela
Nasema mpe hela
Mpaka hapo tayari wako labda kama we sio ridhiki
 
Toa hela wewe ama la utamwona kesho kwa mwenzio anayejua kutoa hela :biggrin:
 
mimi wala nisingekuja kuuliza hapa,ningepiga chini tu........ila mtoa mada kaja kuomba ushauri na kwa mawazo yangu mimi mwanamke anaejielewa hawezi kuanza kupiga mizinga hovyo.

Kwa mtazamo mwingine, huoni kwamba labda anataka kuona ujasiri wa jamaa?
 
kaa naye chini mweleze kinachokukera maji utakayopata ndo utajua kama yuko na wewe .
 
Inategemea wewe ulianzaje kumtongoza kma ana shida sio mbaya kukuomba
 
pole bro...c wote wanapiga mizinga heb jarb mwengne mpaka wafke wa5 ndo tujue n tabia yao
 
Salam wadau!

Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi. Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.

Kama kakuomba nyingi sio mzuri, isije kuwa amekuomba ya nauli ya boda boda una jadili humu mkuuu... mpende na mpe pesa
 
mimi wala nisingekuja kuuliza hapa,ningepiga chini tu........ila mtoa mada kaja kuomba ushauri na kwa mawazo yangu mimi mwanamke anaejielewa hawezi kuanza kupiga mizinga hovyo.

Ahhhh bwana shemeji acha uchoyo, mzinga wa maana ni wa sh ngapi? Maana huu umeuona wa hovyo!
 
Dogo..hakuna kutoa pesa kwa hawa viumbe. Nasema usimpe hata coin moja. Unatoa ili iweje, umekuwa mzazi wake! Kama vipi akupe utamu kwanza ndio ufikirie kutoa..
 
Dogo..hakuna kutoa pesa kwa hawa viumbe. Nasema usimpe hata coin moja. Unatoa ili iweje, umekuwa mzazi wake! Kama vipi akupe utamu kwanza ndio ufikirie kutoa..

Aaaah bwana sweet darling ex ndio mambo gani hayo?? Acha kutuharibia bwana, hiyo ndio kazi ya pesa ya mwanaume, unamfundisha ule ubahiri wako ulokufanya hadi leo hata baiskeli huna kisa utawatajirisha wauza baiskeli!! Acha uchoyo bwana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom