Aaaah bwana sweet darling ex ndio mambo gani hayo?? Acha kutuharibia bwana, hiyo ndio kazi ya pesa ya mwanaume, unamfundisha ule ubahiri wako ulokufanya hadi leo hata baiskeli huna kisa utawatajirisha wauza baiskeli!! Acha uchoyo bwana.
Hatuwezi kataa kutoa, ila ndo kwanza nimemtokea anaanza mapema kiasi hicho!
Teh...ex darling..miss you lakini hapa lazima niwafundishe wadogo zangu. Kuhonga mtu asiye mkeo ni kuwekeza kwenye hewa. Mimi nature yangu ni ubahili..nashukuru
Mungu kwa hilo..teh teh
Hivi kumbe mimi ndio nilikutosa eeeh!! Huyo sijui kafichwa na nani!! Naye kapotea hatari.
Ukimuona huko mtaani mwambie nimeosha mwiko tayari kwa chakula cha usiku na amka na BBC.
Bahiri hapendezi bwana, usiwaponze hawa wavulana, waache watupe hizo fweza bwana, ulipotelea wapi?
daaah wee atoto wwe